Huyu eddy si ni ndugu yenu huko Lumumba?? Kumbe bado mafisadi yamejaa CCM eeehh teh teh teh
Au ndio wale wa Madawa ya Kulevya ambao Rais ameapa kula nao sahani moja teh teh teh
Mbona pia kamponda JK, eti kasafiri nje ya nchi mara nyingi zaidi, kuliko alivowatembelea wazazi wake huko kijijini kwao Msoga.Sasa mtu unapojiita mwanamabadiriko alafu unamsifia JK tukueleweje? Hivi hii nchi unafiki utaisha lini? Yani leo JK kawa mzuri? Ajabu hii hata shetani anatushangaa Watanzania kwa Unafiki!!
Mkuu, umeongea vema kabisa. Mafisadi wanaweweseka na wanatafuta pa kutokea ili kumchafua Magufuli. Hawatafanikiwa. Tunazidi kumuombea kwa Mungu ili ampe nguvu na utashi wa kupambana na mafisadi na kurekebisha mambo yote yaliyoporomoka wakati wa utawala wa Kikwete
Weka na mambo ambayo hayakutekelezeka,pia tuambie na ile speech yake juu ya esrow saga,ule ndio usmart?Usitutie hasira
Ndio maana nasema hivi Magufuli anakazi kubwa huyo Jamaa niGamba lkn ameanza kununa sasa hayuko peke yake kwenye maofisi
Huu ulioandika ni upumbavu.
10 yrs kikwete kaimalizia angan kama popo na kwa gharama zakutisha- katutia hasara isiyo na kiwango.
This man (Maguful) ndo kwanza katoa hotuba na baraza lake hajaunda.
Why unampigia unajim as if ameshindwa utekelezaji kama alivyofeli mkwere
Elimu hoyoooo kabisa
Afya hovyoooo kabisa
Viwanda na biashara tumekuwa shamba la bibi kila kichaa anajivunia nakubebaba atakacho
Madawa ya kulevya ndo usiseme
Usmati wa mkwere upo wapi mpuuzi wewe zaid yakunua nakucheka hovyo tukiumizwa na makodi makubwa na yeye kukimbizia busha amerika baba zetu wakifia Muhombili
Grrrrrrrrrry this is a Stupidy thread so far to come accross my eyes.
Bwana mdogo weka akiba ya maneno Magufuli ni mCCM labda kama umeanza kuijua CCM baada ya magufuli kuwa Rais vinginevyo....baada ya muda kupita kwa kuona aibu unaweza kuja na ID mpya kumwaga povu CCM niile ile sikiliza watu atakao wateua kwenye Baraza la Mawaziri ndo utaelewa
Ni kweli kabsa hakutakuwa na jipya Magufuli atakuwa akitoa maagizo lakini utekelezaji utakuwa mgumu, JK na Mkapa wamepenyeza watu wao kwenye baraza lake mawaziri na mfumo kubakia ule ule hivyo kuendeleza uchakachuaji na ufisadi kama kawaida.
Nitabakia mpinzani daima mpaka pale ccm itapoondoka. Mfumo ccm umeota mizizi, mtu mmoja aitwae Pombe hawezi ufumua. Naamini maendeleo yatakuja kwa kutoruhusu chama kimoja kudumu madarakani muda mrefu.
Samahani mkuu,
Mchakato wa ujenzi wa mahakama maalum ya mafisadi na majizi umefikia wapi?
Nitabakia mpinzani daima mpaka pale ccm itapoondoka. Mfumo ccm umeota mizizi, mtu mmoja aitwae Pombe hawezi ufumua. Naamini maendeleo yatakuja kwa kutoruhusu chama kimoja kudumu madarakani muda mrefu.
Mimi nadhani ni mapema mno kutoa hukumu kwa raisi aliyepo madarakani kwani HATA kazi bado haijanza......
Tumesikia mipango na sera kipindi CHA kampeni na kwa sera hizo nzuri zenye kuleta tumaini jipya tukaamua kumpa KURA zetu....
Tunachokingoja sasa ni utekelezaji wa Yale aliyokuwa akituhubiria........lakini yeye kama yeye hawezi kuyafanya peke yake Bali atahitaji msaada kutoka kwenye timu yake....na wananchi kwa ujumla......
Anachotakiwa sasa ni kuwa makini katika uteuzi wa balaza la mawaziri.....
Nadhani kwa tuliowengi nyota njema ndio itaanza kuonekana hapo......kuanzia hapo ndio tutaanza kubashiri safari hii inayoitwa kuwa ni ya mabadiliko ya kweli......
TUMPE MUDA....
Afadhali na wewe umemuona, kaanza kwa kufuta ada na michango ambayo inakadiriwa kuwa billion 200 hakusema atatoa wapi fedha za pengo hili. Akazungumzia PAYE asiseme pesa ziko wapi huku akikiri matarajio ya mapato tra yamekuwa hayafikiwi. Ukimsikiliza vyema mwanzoni anapondea mafunzo nje kwa kusema wataalam waje kufundisha hapa ila wakati anazungumzia sekta ya afya anasema anasema watu wakasome nje ili watu watibiwe hapa. NAMI NIMALIZIE KAMA YEYE NA KADHALIKA NA KADHALIKA, MAANA KALIPENDA KWELI NENO HILOJana nimesikiliza hotuba hotuba ya Magufuli nikalinganisha na za JK, kuna jambo moja interesting. Hotuba ya JPM ilikuwa ni thesis kuliko speech, ililenga zaidi kuoanisha na akili za watanzania walio wengi, yaani was too theoretical.
Wakati JK akisema ataanzisha mradi Fulani atakwambia na pesa kapata wapi, mfano aliposema ujenzi wa daraja la kigamboni alisema NSSF ndo watakaotoa pesa na ndio watakuwa wamiliki wa mradi husika. Aliposema ataibadili Kawe alisema NHC ndo wasimamizi na wamiliki wa ule mradi na pesa watapata kutoka exim bank china. Aliposema atajenga bandari mpya ya bagamoyo ni uwekezaji kati ya china Tanzania na oman, JK aliamini zaidi katika FDI.
Sasa jana tuliambiwa ufufuaji wa viwanda hapo ilipaswa kusema je ni merger and acquisition au ni business repurchase? Mtu ukishamuuzia gari na akakulipa badae ukalitaka atakuuzia kwa bei atakayotaka yeye. Kuhusu mashamba yapo mashamba wenyeji walishalima na kujenga makazi je utawafurumusha urejeshe shamba? yapo mashamba hati zilishakopewa bank hayo itakuwaje?
Kusema kuwa tuna ng'ombe wengi basi tutengeneze viatu tuvae wenyewe, hii haingii akilini, kiatu cha pure leather English boot kinauzwa zaidi ya laki nne, nani mswahili yuko tayari kununua hicho kiatu? Hebu tujiulize hizi ngozi huwa zinaenda wapi? sijawahi sikia fuso la ngozi limekamatwa mpakani hivyo haziuzwi kwa magendo.
Amekiri mwenyewe kuwa mkulima wa pamba anatozwa shuru tozo kodi zaidi ya 26 huu ni unyonyaji wa waziwazi, lakini nani kaweka haya maushuru ushuru kama yeye anavyoyaita? anadhani hayapo kisheria? anadhani akina mbowe hawayaoni? mbona hawapeleki miswaada bungeni kuyaondoa? ukweli there is a chain of bureaucracy.
Machoweza kusema hotuba ya mkuu yalikuwa maono, sasa magufuli anahitaji wataalam wa uchumi na biashara ili waweze kutransform maono yake into practice.
Watu waliozoea kupiga mpunga wa nje nje kupitia safari za nje na ufisadi watamkumbuka Kikwete daima. Daima watamchukia Magufuli kwa vile amekata mirija yao ya kifisadi.
Ndio Pombe ajue, mfumo ccm ni mzito sana, alishindwa Nyerere, anaanzisha viwanda huku watu wanamhujumu, mwenyewe kakimbia ikulu.Mkuu na huu ndo ukwel!
Na wakiona kakomaa wana mkolimba!
Mshikaji wangu mbunge, anasema watu wamemaindi kuwachukulia hela zao! Eti katudhulumu sasa ataona! !
I was like what? ??????
Nikamuuliza sasa mtamfanya nini? Anasema yaache hivo hivo kwa sasa! Nikaishia duuuuh! ! !