Kikwete a smart Man that I know

duhhh leo mtu kama lizabon nae anaushutumu uliokuwa utawala wa kikwete.
 
Jakaya nitabaki nakukubali sana kupuuza ukanda na ukabila mungu akupe maisha marefu kama mkapa
 
Yep, that is why i said "in some cases" coz for sure if bang bang yako imeenda skonga na lady amei-feel than you are on your way to the top man! and her on the way to maradufu platinum!

Aluta Continual
 

Naona leo upo kwenye ubora wa kukiponda chama chako wamekunyima posho?
 

Mmeanza kukimbia kivuli chenu wenyewe, sasa namba mnaisoma wenyewe sisi tulishai delete na haisomeki tena.
 
Hayanihusu mabadiliko lowasa, lowasa mabadiliko
Hili jina la Lowasa kama nalikumbuka vile sijui alikuwa nani na sijui yuko wapi si atakuwa amezeeka sana kwa sasa ?ah hata kumbukumbu naye sina ,tayari tushamsahau.
 
Ninachoweza kusema kwa sasa ni, Huyu ni mtu anaye sema kitu ukimuangalia usoni unaona kwa hakika anamaanisha. Tusubiri muda uamue.

Hotuba ya 2005 usiisahau,jamaa alisema usinione natabasam.....
....
..
 

Ha ha ha,so huenda hata yale maamuz ya hela za magodoro hakujadiliana na washaur?let us believe ni msikivu
 
**********************************************************
 

Mkuu sikupingi ila inakuwa vizuri unapozungumza uka-cite na mifano, Magufuli amekuwa naibu+waziri kamili kwa miaka 20, ktk nafasi zake hizo kama kiongozi kwenye wizara husika alizoziongoza, unaweza ukatupa mifano kadhaa aliyokuwa dikteta na kufanya kazi peke yake pasipo team work huko alikoongoza? Wa-Tz wengi wanamsifu Kagame kwa kuiendeleza Nchi yake (inawezekana wewe si mmoja wao), unadhani PK ana demokrasia sana Nchini kwake ktk kutekeleza mambo ya msingi? by the way u demokrasia wa mkwere kuchekacheka na wazembe na mafisadi ktk mambo ya msingi bila kuwa mkali ndio uliotufikisha hapa. Mi sio Mwanaccm but I will always pray for this man!! maana nimemshuhudia utendaji wake since1995 alipoanza kuhudumu kama naibu waziri, kwa asilimia kubwa anatembea kwenye maneno yake.
 

Huyu eddy si ni ndugu yenu huko Lumumba?? Kumbe bado mafisadi yamejaa CCM eeehh teh teh teh

Au ndio wale wa Madawa ya Kulevya ambao Rais ameapa kula nao sahani moja teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
haya maneno yasiyofaa nisingeyapendelea, mie namuona hivyo wewe eleza unavyomuona na weka hoja za kushawishi,

Mkuu japo siungi mkono hoja yako hapo juu, ila nakupa hongera sana kwa ulivyomjibu huyu jamaa!! hongera kwa ukomavu wa kiakili. Watu wajifunze kupinga hoja kwa hoja sio unapinga hoja kwa maneno machafu.
 
watumishi wengi wa serikalini watamkumbuka kikwete jinsi walivopiga hela na kula bata plus perdiem kibao. jk kikwete me aliboresha sana mishahara kutoka kima cha chini 200000 hadi 350000
 
To hell with maneno ya akiba na we kenge,naijua CCM toka miaka ya 80's na hii ndo CCM ninayoijua. Hakuna Cha baraza hapa atayeharibu atatupisha.

Pole sana....Bwana mdogo
 
Natumai sasa ni wakati muafaka wa kumtumia Prof. Lipumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…