tatizo lako unatumia shipping agent wa muda mrefuAliexpress...ndo nmeagiza mzigo natarajia..kupokea soon..nikiupata bila ttzo lolote ntakupa mrejesho..sema shida iliyopo mzigo unachukua siku nyingi kufika.
Unaweza kuopt na DHL.
alibaba ni baba wa aliexpress, pia uagizaji wa mizigo alibaba ni tofauti kidogo na wameweka ka kwambi ni mizogo mikubwa ama mingi zaidi ila aliexpress unaweza nunua hata sindano moja tuuSory naomba kujua AliExpress na Alibaba ni kitu kimoja au tofauti?
Kikuu na Jumia yupi ni bora katika kuhakikisha bidhaa unaipata haraka
Sory naomba kujua AliExpress na Alibaba ni kitu kimoja au tofauti?
Kikuu na Jumia yupi ni bora katika kuhakikisha bidhaa unaipata haraka
Sory naomba kujua AliExpress na Alibaba ni kitu kimoja au tofauti?
Kikuu na Jumia yupi ni bora katika kuhakikisha bidhaa unaipata haraka
mkuu kunavitu vingi yafaa uvijua katika biashara ya mtandaoni na ndo maana unaweza kuta kitu kinauzwa bei nzuri ila kikawa hakiji tanzania. ila katika shipping agent ndo pakuangalia maana ukikuta msafirishaji ni DHL ujue bei ni juu ila mzigo haumalizi hata wiki unakuwa umefikaAhsante kwa ufafanuzi sijawahi kununua bidhaa mitandaoni juzi nikajaribu kuingia ALIBABA kununua bidhaa cha kushangaza bei ya bidhaa ni USD 11 shipping cost ni USD 117 mpaka Sasa hivi sijaelewa inakuwaje shipping ni gharama kiasi hicho
kodi ipo kwa baadhi ya mizogo hasa simu na vifaavingine vya umeme ni swala la kufuatilia pale posta uweze kujua ni vipi vinapigwa kodi na vipi havipigwi ili ukiwa unanunua uwe unafahamu ,Vipi mzigo ukifika posta hakuna makato mengine kama kodi..?
kamati yamaamuzi magumuu
KiKuu ni wapuuzi sana unaagiza kiatu size 43 wao wanakuletea 39 halafu wanabandika namba 43 pumbavu ha.ufikishwaji wa bidhaa hovyo, huduma kwa wateja mbovu....unaweza pick sandals za ngozi halafu wao wakakuletea yeboyebo(slipper) sina hamu nao
nishafutaga App yao kitambo......ila bidhaa zao ni affordable
dropshing kwa aliexpress.
Aliexpress ni boraSasa mchango wenu kati ya Kikuu na AliExpress yupi bora.
- Inashauriwa uwe na sanduku la posta ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza au kupoteza mzigo wako.Mzigo unafika posta ata kama sina sanduku la posta?
Mkuu niko.zenji vipi na hapa zenji naweza agiza vitu nje mkuu kupitia posta ama..?- Inashauriwa uwe na sanduku la posta ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza au kupoteza mzigo wako.
- Wapo waliopokea mzigo kwa kuweka tu namba ya simu/ jina la wilaya yake/ mkoa - Ila sio njia ya sahihi na aishauriwi kabisa LBDA kama unatumia huduma ya EMS hapo ondoa shaka.
- Pia iwapo utatumia njia za haraka za usafirishaji kama DHL hapo sanduku la posta halihitajiki, ni physical address yako na namba ya simu inatosha.
Mi natumia posta mwaka wa 3 sasa na sijawahi poteza mzigo wangu.....- Inashauriwa uwe na sanduku la posta ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza au kupoteza mzigo wako.
- Wapo waliopokea mzigo kwa kuweka tu namba ya simu/ jina la wilaya yake/ mkoa - Ila sio njia ya sahihi na aishauriwi kabisa LBDA kama unatumia huduma ya EMS hapo ondoa shaka.
- Pia iwapo utatumia njia za haraka za usafirishaji kama DHL hapo sanduku la posta halihitajiki, ni physical address yako na namba ya simu inatosha.
Je umesoma neno kwa neno na kuelewa nilichokiandika?Mi natumia posta mwaka wa 3 sasa na sijawahi poteza mzigo wangu.....
Ndio unaweza cha msingi ujaze detail zako zote na utaweka option ya kutumiwa posta au kwa sandk lako laposta na utaweka zip code, namba ya simu, kitambulisho cha NIDA na vingne vyote ....Mkuu niko.zenji vipi na hapa zenji naweza agiza vitu nje mkuu kupitia posta ama..?
Kwa mimi ni zaidi ya miaka 10 sasa.Mi natumia posta mwaka wa 3
Mkuu unachukulia posta wapi..?Mi natumia posta mwaka wa 3 sasa na sijawahi poteza mzigo wangu.....
Hawezi pewa mtu mzigo wako maana ukienda kuchukua parcel yako lazima utoe kitambulisho cha NIDA ndo unapewa na kuhusu kodi ya bidhaa imeongezeka kutoka 1500 mpk 3000 ukiwa una parcel ndg ila kuna baadhi ya store ukinunua wanalipia mpk kodi ya mzigo wako we ukifika unachukua tu
Naangalia aliexpr hapa nasearch samsung A40 sizioni hzo simu sijui nakosea wapiMkuu unachukulia posta wapi..?
Mimi sina uzoefu kabisa nasijui hata nianzie wapi..