Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,210
- 12,272
Unachokiamini wewe umekifanyia kazi?Kwahiyo nn maoni yako hapo?
Tutakuelewa nn wakati hujasema unachokiamini?
Unachokiamini wewe umekifanyia kazi?Kwahiyo nn maoni yako hapo?
Tutakuelewa nn wakati hujasema unachokiamini?
Kikundi cha watekaji mbona kinajulikana.Niliwahi kusoma sehemu fulani na baadaye nikaambiwa kwa comment hili jambo.
Habari ya jumapili ndugu Mtanzani.
Hili jambo la wasiojulikana limezungumzwa sana kwenye majukwaa mbalimbali na hata JF.
Nimejiuliza mara kadhaa na sijapata jibu kwa hili swali langu, je hawa watekaji ni sehemu ya wananchi wa Tanzania?.
Hawa watekaji ni kikundi kutoka idara gani hapa nchini?.
Naweza kupata jibu au nisipate je ndicho kile kikundi kisichoingiliwa na taasisi au mhimili wowote wa nchi yetu?.
Kwamba bunge lilipitisha azimio kuwa na kikundi maalum ambacho kinaweza kufanya jambo lolote na asiwepo wa kuhoji?.
Maswali ni mengi ila bado kidogo jibu lipatikane.
Bunge halina meno kuhoji wale wanao wapigia kura kutekwa, kuumizwa na kuuawa?
Je, mbunge (mhimili) wangu hana mamlaka niliyomkanidhi kulingana na katiba ya nchi kuhoji watendaji wa serikali inayokuja mtaani kunikamua kodi kwamba mbona mlipa kodi fulani kapotea au kaumizwa na hakuna majibu ya maana?.
Ina maana hicho kikundi kilipewa nguvu kufanya haya au kimeingia mkenge kwa wanasiasa na kasahau target yao ilikuwa ni wavamizi wa nchi yetu?.
PK perspective!.
Achana na wangu toa w unachokiamini. We mbn husemi unachokiamin??Unachokiamini wewe umekifanyia kazi?
Unadhani kutaja taja majina na picha za watu uko mitandaoni ndo kutoa ushirikiano.Kama unawaza hivyo hakuna badiliko litakalotokea.Sativa hatoi ushirikiano?
Si kila siku anamtaja Mafwele kule X na mpk sasa kila mtu anamfaham Mafwele.
Sativa amehojiwa mara kibao tang akiwa hospitar kule Katavi, Aga Khan na mpk leo anamtaja aliyemteka.
Polisi wamefanya nn mpk sasa??
Mkuu unatumia akili??... Ulitaka ushirikiano gani?... Si alishasema alipelekwa karakana ya Ostabey na kisha kupelekwa Chuga na kote alikuwa anahifadhiwa vituo vya polisi?Unadhani kutaja taja majina na picha za watu uko mitandaoni ndo kutoa ushirikiano.Kama unawaza hivyo hakuna badiliko litakalotokea.
Acheni mlengo wa siasa tushirikianeAchana na wangu toa w unachokiamini. We mbn husemi unachokiamin??
Kama huelew nn unaamin basi ufyate Mkuu.
Nash ali dhungumzia kua polisi unampelekeaje habari ya utekaji ,akasema wasanii tunaibiwa ilekinomanoma kamavipi jembe nauri ni Bure twenzetu dodo aka sema we uloonawapi mnyonyaji amtete anaenyonywaaTatizo sisikilizi mziki kabisa
Labda uweke mistari yake kidogo
Tatizo wanatoa vitisho badala ya uchunguzi
Hapo nimeelewa, sema wewe uliona wapi mnyonyaji anatetea?Nash ali dhungumzia kua polisi unampelekeaje habari ya utekaji ,akasema wasanii tunaibiwa ilekinomanoma kamavipi jembe nauri ni Bure twenzetu dodo aka sema we uloonawapi mnyonyaji amtete anaenyonywaa
Yani ikohivyoo mzeeHapo nimeelewa, sema wewe uliona wapi mnyonyaji anatetea?
Inahuzunisha sana
Ngoja na ww yakukute endelea kutetea maovuKuanza kushutumu watu hatuwezi kupata suluhu ya tatizo ,ni bora kutulia na kushirikiana na tuliowapa madaraka ili kujua ila panic watu wataendelea kuishi ..Hili suala sio la jana wala leo.
kuna mambo mawili, la kwanza, hao polisi ni ndugu, kaka, dada, shangazi, jirani zetu, mtu anapoteswa hata wao wana roho, hawafurahii kila kitu, ndio mwisho wanasalitiana na kutoa siri kwamba mbaya kwenye jeshi letu ni huyu. na ni kitu cha kweli hawakosei. Pili, hao askari wenu, wanafahamika, kwamba uishi mbeya usiwajue askari pale kwa RCO? sasa, kama wamekuja kukukamata unawajua, au wamekamata ndugu yako na unafahamu kuwa fulani na fulani ndo wamekamata, kwa nini usiwataje wakati unawafahamu? common sense tu.
HaiwezekaniNg
Ngoja na ww yakukute endelea kutetea maovu
a) Mmetunga katiba ya kazi gani?.Kuanza kushutumu watu hatuwezi kupata suluhu ya tatizo ,ni bora kutulia na kushirikiana na tuliowapa madaraka ili kujua ila panic watu wataendelea kuishi ..Hili suala sio la jana wala leo.
Hiii sheria ya wapi...hakuna kitu cha hivi..anaetuhumu ndio kazi yake kuthibitishaUkituhumiwa ni jukumu lako kuprove your innocence so sio kazi ya mtuhumu kuprove!
Saini hakuna kwenye hilo pango