Kumtuhumu mtu au kundi Fulani si kosa kisheria ingawa utatakiwa uthibitisho.Kwa nini watangulize hofu kubwa kwa kutuhumiwa tu badala ya kutuaminisha si wao?Kuanza kushutumu watu hatuwezi kupata suluhu ya tatizo ,ni bora kutulia na kushirikiana na tuliowapa madaraka ili kujua ila panic watu wataendelea kuishi ..Hili suala sio la jana wala leo.
Barua feki hiii, au aliyeandika ni mpumbavu
Kwahiyo nn maoni yako hapo?Haya mambo mnayepeleka kisiasa siku moja utanielewa. ukifuta mambo ya siasa watu watakuwa kitu kimoja.
Tuwaachie watu tuliowapa madaraka? You are not serious. Si ndio hao wanaoshukiwa?Kuanza kushutumu watu hatuwezi kupata suluhu ya tatizo ,ni bora kutulia na kushirikiana na tuliowapa madaraka ili kujua ila panic watu wataendelea kuishi ..Hili suala sio la jana wala leo.
Kumtuhumu mtu au kundi Fulani si kosa kisheria ingawa utatakiwa uthibitisho.Kwa nini watangulize hofu kubwa kwa kutuhumiwa tu badala ya kutuaminisha si wao?
Kumbe wanafamilia ? Kimbe ni wanadamu ? Kumbe wanadhurika ? Kumbe wanakufa ?
Kinyume chake tumeletewa tangazo la onyo,vitisho na hofu ya kuwatetea watuhumiwa bila kuwaachia ulingo wajitetee wenyewe.Ukituhumiwa ni jukumu lako kuprove your innocence so sio kazi ya mtuhumu kuprove!
yenyewe mkuuBarua feki hiii, au aliyeandika ni mpumbavu
Kinyume chake tumeletewa tangazo la onyo,vitisho na hofu ya kuwatetea watuhumiwa bila kuwaachia ulingo wajitetee wenyewe.
Naamini sisi ni binadamu.Sijajua hao waliotoa tangazo la onyo kama ni binadamu.Na bado tutajiita ni binadamu sisi? I doubt yani...
Ni ndugu zetu hawa lakini na tunaishi nao yani, wamejipa umungu mtu kiasi kinachoshangaza kama wanajua ubinadamu wao, au position zao zishawapandisha daraja!Naamini sisi ni binadamu.Sijajua hao waliotoa tangazo la onyo kama ni binadamu.
Tumia akiliKuanza kushutumu watu hatuwezi kupata suluhu ya tatizo ,ni bora kutulia na kushirikiana na tuliowapa madaraka ili kujua ila panic watu wataendelea kuishi ..Hili suala sio la jana wala leo.
Anahofia akitumia zitaisha.Tumia akili
Ati wanachunguza! Polisi hawa wanaoongozwa na mkuu wa mkoa CHALAMILA ambaye anakana kwamba Dar hakuna mapori?Alafu mtu bado anawaamin Polisi?
Wa mchana Mzee Kibao hawajaweza sembuse Mdude alochukuliwa usiku??
Wanatuona sisi hatuna akili
Familia za askari waliotajwa kuhusika na utekaji huo wahifadhiwe mahala salama, sidhani kama ni sahihi watoto aau mke kuumizwa kwa ujinga wa mume. Ila hao askari waliotajwa wasilale usingizi wa amani hata siku moja, wawindwe kama digidigi!
Mambo ya kingese tu Bro. Wanatuona sisi hatuna akiliAti wanachunguza! Polisi hawa wanaoongozwa na mkuu wa mkoa CHALAMILA ambaye anakana kwamba Dar hakuna mapori?
Tatizo sisikilizi mziki kabisaBrother tafuta Ngoma ya nash mc maswali ya kiwaki