Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,339
- 829,487
- Thread starter
- #41
Lakin mbona hii imekaa ki ushilikina xana kweli binadam wabaya sana lakin cjui kama anaweza akakufanyia chchte kwa kutumia vtu ulivyo vtaja hapo coz me siamin ushilikina
Uwepo wa kitu ni tofauti na kuamini au kutokuamini kwakuwa hiyo haizuii uwepo wake