kikosi cha yanga kitakachoanza leo.

kikosi cha yanga kitakachoanza leo.

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,910
Reaction score
63,591
1.Ally Mustafa
2.Godfrey Taita
3.David Luhende
4.Mbuyu Twite
5.Kelvin Yondani
6.Athumani Idd
7.Saimon Msuva
8.Frank Domayo
9.Jerson Tegete
10.Hamis Kiiza
11.Haruna Niyonzima
Subs:
1.Said Mohamed
2.Shadrack Nsajigwa
3.Oscar Joshua
4.Omega Seme
5.Nizar Khalfani
6.Said Bahanuzi
7.Didier Kavumbagu.
Leo Yanga inakipiga na toto africa.
MIA
 
HALFTIME: Yanga 0-0 Toto AfricansHakuna timu iliyoona lango la mwenzake uwanja wa taifa, na mpira ni mapumziko. mia
 
Msuva amepewa kadi ya njano, kajiangusha ndani ya kibox cha Toto Afrika. Line 1 alisema penati kwa Yanga, refa wa kati katoa yellow card kwa Msuva.
 
Toto Africa wamepata pigo, mchezaji wao kapigwa red card. Ni Mulilo.
 
Naiombea TOTO itoe droo dhidi ya timu yangu kipenzi ya YANGA.
 
Back
Top Bottom