kikosi cha yanga kitakachoanza leo.

kikosi cha yanga kitakachoanza leo.

Kutoka Mbagala Chamazi stadium

Azam 1-1 Polisi Moro

Tartiiib tunawaacha Azam na dada zao Simba a.k.a mabinti wa Malkia wa Nyuki...
 
hivi bado pt ngapi mtangaze ubingwa?
 
safi sana,hakuna ubishi kwani ubingwa Yanga tumeshatangaza mapema,mechi ya leo ilikuwa muhimu sana kwetu
 
Yanga 1-0 Toto Africans:Yanga imezidi kujichimbia kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya Toto africans ya Mwanza. Bao pekee la Yanga limefungwa na Nizar Khalifan katika dakika ya 79. Katika matokeo mengine Azam imetoshana nguvu na Polisi Morogoro kwa sare ya 1-1. mia
 
Kutoka Mbagala Chamazi stadium

Azam 1-1 Polisi Moro

Tartiiib tunawaacha Azam na dada zao Simba a.k.a mabinti wa Malkia wa Nyuki...

Naona siku hizi umeingia kwenye ushabiki uliokuwa unaupinga, siku tukiwa tunayaporomosha hapa usinune mke wa Manji...
 
Back
Top Bottom