figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,920
- 63,630
- Thread starter
- #41
Wakati mnasubiri mpaka wachezaji watimu pinza wapewe kadi nyekundu..
wengine wa msimbazi huwa wanasubiri penati ndo wahesabu goli. mia
Wakati mnasubiri mpaka wachezaji watimu pinza wapewe kadi nyekundu..
Yanga imara..daima.....malizia..
Wakati mnasubiri mpaka wachezaji watimu pinza wapewe kadi nyekundu..
Siku hizi mimi mpole ila bandiko la kaka yangu Bala limeni kera sana ukizingatia yeye huwa anapiga sana ushabiki wa kejeri za namna hiy lakini nimemsoma tangu juzi sijui ni kwa kuwa mwaka huu yeye ana uhakika wavikombe vyote...Simba hatuna wame tuna malikia, wanaofanya upuuzi huo ni yanga rejea tukio la kuwa laza wachezaji watatu kitanda kimoja Chuji, Twite na fuso, na kuajiri kocha mwenye vikuku na bingwa wa kucheza viduku yanga nyi wapuuzi kweli, halafu Manji ni mme wenu mtabisha nini mkikohoa tu anawachapa na vitege, always...Crashwise...nakuheshimu sn broda...sikutegemea kusikia toka kwako...ila freshhh...vp nasikia toka libolo apige 4 bila ndom..waume zenu wote wamewakimbia....?kisa njia imekuwa kubwa..hahahahaha..
Nijipe moyo upi, mwaka huu najua sina changu lakini msiletu matusi na kejeri za kiduwazi wakati mna deni la goli sita bila, goli tano bila...endelea kujipa moyo.
Kama hizi....Nyie wachumba tuwengine wa msimbazi huwa wanasubiri penati ndo wahesabu goli. mia
Naona siku hizi umeingia
kwenye ushabiki uliokuwa unaupinga, siku tukiwa tunayaporomosha hapa
usinune mke wa Manji...
Ze dakikaz pliz!
Siku hizi mimi mpole ila
bandiko la kaka yangu Bala limeni kera sana ukizingatia yeye huwa
anapiga sana ushabiki wa kejeri za namna hiy lakini nimemsoma tangu juzi
sijui ni kwa kuwa mwaka huu yeye ana uhakika wavikombe vyote...Simba
hatuna wame tuna malikia, wanaofanya upuuzi huo ni yanga rejea tukio la
kuwa laza wachezaji watatu kitanda kimoja Chuji, Twite na fuso, na
kuajiri kocha mwenye vikuku na bingwa wa kucheza viduku yanga nyi
wapuuzi kweli, halafu Manji ni mme wenu mtabisha nini mkikohoa tu
anawachapa na vitege, always...
Teh teh......Na hivi ndio vijimambo vya utani wa Jadi.....
Na haya ndo madhara ya LIBOLO....
Mmeharibiwa kabisa siku hizi....Huko nyuma hamkuwa hivyo....
Nasikia Malkia wa nyuki ndo anaongoza Jahazi la timu sasa hivi.....Kulikoni?....Ina maana Rage ndo basi sana....
Aaaaah wazee wa Muscat....
Btw, nasikia wachezaji wa kikosi cha kwanza wanaendesha mgomo...Na kesho mnaingiza kikosi cha pili....Ya kweli hayo mtani?
Nijipe moyo upi, mwaka huu najua sina changu lakini msiletu matusi na kejeri za kiduwazi wakati mna deni la goli sita bila, goli tano bila...
Nijipe moyo upi, mwaka
huu najua sina changu lakini msiletu matusi na kejeri za kiduwazi wakati
mna deni la goli sita bila, goli tano bila...
Wake wa Manji mko wengi, mme wenu manji anawapa nini mbona mnatakata sana....
Simba-Yanga 5-0 (Emanuel Okwi Red No 25) - YouTube
Simba Taifa kubwa..Ngoja tujipange lazima tuwapige ili mchukue kombe na kipigo...
Kaliulize LIBOLO.
hilo lijina juu lenye nyekundu limewafanya vibaya Simba huko nyuma,naskia siku wanashindia kuvaa nepi au pampass tangu watoke Angola,kweli LIBOLO lilikoroga tope kisawasawa to Simba's back
hapana chezea jangwani wewe!ni lazima mnyama achinjwe mwaka huu.