kikosi cha yanga kitakachoanza leo.

kikosi cha yanga kitakachoanza leo.

jf sports rahaa unatukana tu hadi raha huku hakuna ban kabisa..

Hakuna tusi hapo....Kwani LIBOLO ni tusi?....LIBOLO ni jina la timu iliyowapiga Simba bao 5 nyumbani na ugenini....

Hakuna tusi hapo.....Kama unaona kuna tusi bonyeza kitufe cha 'Report Abuse'
 
Hii game ya jana ingekuwa ni Wazee waathirika wa lile li'organ (Libolo) lazima wangekaa tu
 
Back
Top Bottom