Unaweza kuwa ujijui ila ukweli ndo huo ila simpimi mtu kwa umbo wala kwa sura naangalia nini kimtokacho kinywani mwake!Hahah hapo kwenye fagio la wife material bro . . . . mmh umeniacha hoi!!
Nashukuru.
Acha hizo basi ndugu.
Nina imani wanawake wa aina tofauti tofauti wanaexist!!
Na hiyo sample pia ipo.
kama vipi twende syria tukachukue mabomu ya nyukilia. wakileta za kuleta tunawalipua tu
Naona ushapona na jeuri
yako iko juu. Kitendawiliii...............Pamparama mlango wa chuma
ukifunguka hauna huruma...............
mbona hujamalizia
Alihisi kama Meku Mushi anamnyatia kwa nyuma vile.... Chezea mangi mwenye mauchungu yake weye!
Kuna jamaa nimepata tetesi kuwa anatumia sehemu nyeti za mpenzi wangu. I give him a last warning.
"Mushi weapon is on my Hands"
hha mwenye uchungu na pesa yake...kuishi Sudan si mchezo ujue
Unahuakika??nyie mnatufanya sisi eko bank hii ndi yo out come!
Mimi hapa na mimi na msubiri bibie lara 1 najua atakujua na maneno yakupingana na kauli hizi za kusossomola wanaume maana nawao wameshtuka ukimsosomola kumbuka naye ana "MANATI YA KIZUNGU" Haikopeshi!
Ila kiiukweli jamaa yawezekana aliwekeza sana katuma dolari kila akipewa posho yake ya dollar 37000 kwa mwezi nje ya mshahara anatuma kwa Ufoo Saro na anatumiwa picha ya ghorofa katika Whatsapp jamaa kuona jengo limeisha akaanza kula bata sudani anajua mambo yapo poa ila sasa kurudi bongo hata msingi hauoni anaenda kwa mama mkwe wake kuomba busara mama mkwe anamwambia babue unao ushahidi kuwa ulituma pesa kwa mawanangu??kwanza mwanangu alishakwambia hakutaki iweje umng'ang'anie si hakutaki????wanawake wapo wangapi tafuta mwingine ....................unadhani utafanya nini na una "MANATI YA KIZUNGU"???Wanawake jiangalie wanaume wamechoka kufanywa Visa card!!
Mi mwenyewe kuna mdada ananivuruga akili humu ndani. Anaweza nisababishia umauti wa gafla sababu kila jogoo anataka liwe lake wala hanitunzii heshima.
cc: Baba V Lady doctor Heaven on earth Slave. Vin Diesel. Mia
Nyote wawili wazanaki wanasema wote mang'anyang'a. Unafikiri utanigombanisha na mke wangu ubaki salama?. penda maisha yako. Heaven on earth anaweza akasababisha maisha yako yawe mafupi kama maisha ya funza. Sitaki mtu achezee mapenzi yangu wala amzoee mke wangu nmpendae heaven. Au nimwambie Jiwe Linaloishi akupige ban?. mia
Mi mwenyewe kuna mdada ananivuruga akili humu ndani. Anaweza nisababishia umauti wa gafla sababu kila jogoo anataka liwe lake wala hanitunzii heshima.
cc: Baba V Lady doctor Heaven on earth Slave. Vin Diesel. Mia
La mgambooooooooooooooo limelia huko..........................
Yaani kwakweli nmesikitishwa na kilichompata dada Ufoo Saro kabisaaaaa,Sababu zinazovuma mpaka sasa ni mapenzi kimetokea nini wanafahamu wenyewe......
Kuna kipindi nilileta thread hapa juu ya yule mchaga anayenihudumia ingawa simpendi kutoka moyoni,na jana jioni kanitumia pesa katika ule mtandao wa hakatwi mtu hapa na kuitoa sijaitoa.
Niliposikia yaliyomkuta bi dada mida ya asubuhi mbona hata hiyo pesa naiogopa hata kwenda kwa wakala kuitoa.......
Kwakweli wadada tuliangalie hili swala kwa umakini maana hata sielewi kabisaaaaa...... Heaven on earth, Madame B, Smile, Elli79, neggirl, Pacha wangu DEMBA sitaki nikuache IGWE, GreenCity mwekundu na wengineo wengi jamani hii ishakuwa fundisho kabisaaa maana naona kimeshanuka huko.
Ikiwezekana kubadilika na tubadilike maana mambo yamesharibika na kijiwe kishaingia balaaaaa
ishu inabidi kama mtu humpendi na wala hauko serious nae,ni bora hata ukadanyanya umeolewa ama una bwana, ili hata akiwa anakuhudumia ajue kabisa kwamba hakuna future.
tatizo nyie mabinti mnapenda sana uongo ah, mbona sie wake za watu tunahongwa sanaaaaa na wahongaji wala hawajali, wenyewe wameamua kuhudumia sababu they like it.
Hilo nalo neno...ila mizinga dada ayanda acha iendelee
Tuseme wewe Heaven on earth humjui?. MiaMkuu muweke hadharani tuanze kumfahamu mapema.
hapana, Heaven on earth umpe kalipio lisilo kali lakini huyo Vin Diesel mpige ban tena ban mbili. Miahahaha figganigga mbona wanitaka ubaya...? mrembo kama Heaven on earth nimpige ban kweli ?