Kikosi cha Mabushi stars cha enzi zile

Kikosi cha Mabushi stars cha enzi zile

Aisee!! Namuona mjomba Kobelo, Meko, Komredi kipepe, Madenge, Chepe nk, hawa jamaa walikuwa noma sana, nakumbuka yale mazoezi yao ya kuchanwa na wembe na kupita kwenye mto wenye mamba wakali, loh!![emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] zamani raha
Umepatia mzee, sasa huyo meko sasa ndio shida
 
Golden boy Mapungo sijui yupo wapi sasa hivi alikuwa hatari sana alicheza hadi Chelsea
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Sijamuona ndumilakuwili (mwizi na tapele maarufu). Sijamuona Mzee kifimbo cheza (Mzee Wa kurekebisha lugha mbovu za kitaa). Sijamuona Doctor Love (kipenzi cha wadada Wa sani)...[emoji13] [emoji13]
Hao ni wa Born town.
 
Mwenye katuni ya lodi rofa plz
Screenshot_2017-03-24-00-12-58.jpg
 
Back
Top Bottom