Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,265
- 64,385
Ukifiwa na mama wewe ni yatimaSwali zuri, na pia nimeshuhudia mtu aliyefiwa na mzazi mmoja akiitwa yatima. Hii nayo imekaaje?
Ngoja wajuzi wa mambo wajeSwali zuri, na pia nimeshuhudia mtu aliyefiwa na mzazi mmoja akiitwa yatima. Hii nayo imekaaje?
Kuna sehemu yoyote iliyoandikwa kwa rejea?Miaka 50
Kwa mantiki ipi? Ninayemzungumzia alifiwa na baba.Ukifiwa na mama wewe ni yatima
Kama ni hivyo, karibia watu wote ni yatimaMpaka wazazi wake watakapofufuka Tena
Mwisho inatakiwa iwe miaka mingapi?Apimwe akili miaka 60+ unaitwaje yatima
Hapana, nimejitungia tuKuna sehemu yoyote iliyoandikwa kwa rejea?
Ukifiwa baba wewe sio yatimaKwa mantiki ipi? Ninayemzungumzia alifiwa na baba.
Yes kuwa yatima ni Hali kufiwa na wazazi wote wawili. Tofauti ni kuwa Kuna watoto yatima ambao ni most vulnerable group: lkn pia wapo watu wazima ambao ni yatima ila tuu wao sio victims sana wa uyatima.Kama ni hivyo, karibia watu wote ni yatima
Tafsiri ya yatima
Yatima ni mtoto aliyefiwa au kutelekezwa na wazazi wake wote wawili au mmoja wao (hasa baba), na bado hajafikia umri wa kujitegemea