Hata ukisoma mapendekezo ya ripoti utaona kwamba hakuna haja ya kuanza kupiga manyanga:From how I understood the report, hakuna sehemu wamesema 'it cures...' just fighting, lowering and like teminologies, hakuna uthibitisho wa uponyaji hapo
From how I understood the report, hakuna sehemu wamesema 'it cures...' just fighting, lowering and like teminologies, hakuna uthibitisho wa uponyaji hapo
Ni neema kwa Tanzania: kile kikombe cha Babu kutoka Loliondo kimethibitishwa na Taasisi ya tiba Asili-Muhimbili kuwa kinatibu magonjwa yote yaliyosemwa na Babu wa Loliondo ikiwa ni pamoja na UKIMWI. Chanzo-MICHUZI BLOGU leo

Hakuna dawa yeyote duniani inayotibu gonjwa kwa 100% zinapunguza tu. Hata quinine haitibu malaria kwa 100%.From how I understood the report, hakuna sehemu wamesema 'it cures...' just fighting, lowering and like teminologies, hakuna uthibitisho wa uponyaji hapo
Ni neema kwa Tanzania: kile kikombe cha Babu kutoka Loliondo kimethibitishwa na Taasisi ya tiba Asili-Muhimbili kuwa kinatibu magonjwa yote yaliyosemwa na Babu wa Loliondo ikiwa ni pamoja na UKIMWI. Chanzo-MICHUZI BLOGU leo
Ni neema kwa Tanzania: kile kikombe cha Babu kutoka Loliondo kimethibitishwa na Taasisi ya tiba Asili-Muhimbili kuwa kinatibu magonjwa yote yaliyosemwa na Babu wa Loliondo ikiwa ni pamoja na UKIMWI. Chanzo-MICHUZI BLOGU leo
This result reveals that Carissa edulis has potent anti-viral activity against herpes simplex viruses. Taking into consideration that, herpes simplex virus (HSV) infection is a major opportunistic infection in immunosuppressed persons, these findings supports the ethnomedicinal claim of the use of the plant in the management of HIV/AIDS as claimed by Pastor Ambilikile Mwasupile.