Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
Watafiti wa bongo ni kiboko. Yaani wao nao wanaendeleza uwongo babu wa Loliondo?
Yeah, ripoti ni nzuri tena sana, ila heading ya thread ina misslead.Nakubaliana na wewe, ila uthibitisho wa uponyaji tunausubiri kwa sample ya wizara ya afya ya watu 200 kwa kuamini kuwa wataifanya kisayansi. Kuhusu ripoti hii mimi naikubali sana kwa kuwa na scientific evidence za mmea ambazo zinathibitsha claim ya babu. I hope you will be following what MoH will soon reveal.
Wewe kweli mfa maji huachi kutapatapa, hvi hyo report umesoma au unakurupuka tu. Report yenyewe inajieleza na recomendations zinadhihirisha hilo. Nilichopinga c report hii bali 'heading' ya thread. Acha kukurupuka, soma uelewe.Kwani wewe study yako ni ipi? Unapopinga pinga kwa data maana kila mtu anauwezo wa kusema NO hata angekuwa kichaa. Ukisema no useme na why? Otherwise how do you differentiate yourself from lunatic?
Asante sana mkuu kwa kugundua hilo, si muanzisha thread tu kuna mtu anajiita Mfamaji nae kakurupuka halaf kwa lugha kali isiyo na staha.Hongera muhimbili!lakini haka kakipande cha conclusion kawekwe kwenye lugha ya taifa(kiswahili) ili watu wasikurupuke na kuelewa vibaya kama muanzisha thread!
Umeona eeh!Kwlei lugha ni tatizo Bongo. Hiyo ripoti haisemi sehemu yoyote kuwa mti unatibu HIV, vichekesho kweli.
Exactly, thats y I opposed the thread! Hakuna uthibitisho wa uponyaji.Hakuna dawa yeyote duniani inayotibu gonjwa kwa 100% zinapunguza tu. Hata quinine haitibu malaria kwa 100%.
2.0 TERMS OF REFERENCES
The Ministry of Health and Social Welfare (MoHSW) requested the NIMR and ITM to visit Rev. Mwasupile at the site and provide technical advice and recommendations on the following:
2.1 Ethnomedical claims and use of the remedy in the immediate community
2.2 Safety of the remedy as prepared and prescribed by Rev. Mwaisupile
2.3 Efficacy of the remedy as per claims by Rev. Mwaisupile
2.4 System for clinical follow up of patients taking the remedy
3.0 METHODOLOGY
3.1 Interviews with Arusha region authority
Interviews were conducted at Arusha regional level with the acting Regional Commissioner (RC), acting Regional Administrative Secretary (RAS), Regional Medical Officer (RMO) and Regional Health Secretary (RHS) to establish on the efforts already done and identify gaps. At Ngorongoro district level, interviews were conducted with District Commissioner (DC), District Executive Director (DED), District Health Officer (DHO) and District AIDS Coordinator (DAC).
3.2 Interview with Rev. Mwaisupile and some members of Samunge village
Interview was conducted with Rev. Mwaisupile on the remedy, specifically on the medicinal plant used, harvesting process, preparation, boiling process, cooling, decantation and dispensing procedure. Members of Samunge village were interviewed and asked for their opinions on the remedy and previous record of use of the used medicinal plant as to whether it is known to the community and also if there are medicinal and other uses of the plant.
3.3 Structured observation on herbal drug preparation and dispensation
Structured observation was done on the medicinal plant used; voucher specimen collected, a portion of whole root material used in making the remedy was also collected for further studies. The team spent time on observing closely on how the remedy was prepared to the last step when it is dispensed for use by the patients.
3.4 Botanical description
The voucher specimen of the medicinal plant was identified by the Plant Taxonomist, Mr. Frank Mbago, from the Department of Botany at the University of Dar es Salaam (UDSM) in Tanzania.
3.5 Literature review
Review of available scientific information on the identified medicinal plant was carried out using google internet search engine, Natural Product Alert (NAPRALERT), PUBMED and Science Direct databases.
2.0 TERMS OF REFERENCES
The Ministry of Health and Social Welfare (MoHSW) requested the NIMR and ITM to visit Rev. Mwasupile at the site and provide technical advice and recommendations on the following:
2.1 Ethnomedical claims and use of the remedy in the immediate community
2.2 Safety of the remedy as prepared and prescribed by Rev. Mwaisupile
2.3 Efficacy of the remedy as per claims by Rev. Mwaisupile
2.4 System for clinical follow up of patients taking the remedy
kati ya wagonjwa 21 walioenda kwa babu ni moja nilie muona kapata nafuu...
........ kwa mimi naona Dirisha la kupata Community which will be free from HIV infections ni through cell mutations.. I believe there will be a break through one day!.. Scientist wapo labs wanaumiza vichwa jibu halipo liliondo kwa babu tujenge utamaduni wa kusoma medical journals kutoka hapa MMS: Error mtakuwa more updated. but for now!! peace out!
Mkuu umeisoma ile Report! kwanza ... hawajafanya utafiti wowote but wametafuta publications toka vitabu mbalimbali .. wasomi wa bongo.. mi nilitegemea report ije na vipimo vyilivyofanya na wao wenyewe.
1) Carissa edulis... jina la kitaalamu ule mti. Ujelikane kwamba unatumika katika nchi za Asia & pacific Asia as a tradition medicine kuleta afadhali katika baadhi ya magonjwa esp. life style deseases .. e.g B.P, kisukari, mshutuko wa moyo, infamations etcl...
2) HIV (Human immunodeficiency virus) Thy belong to a group of CYTOPATHIC LENTIVIRUSES .. ni kirusi kinachosababisha ukimwi (AIDS)...! kuna two types ya HIV viruses.. HIV1 & HIV2 Both of them either HIV or TWO baada ya kuingia na ya mwili they will take approximately 7 days kufikia cells.. main target ya HIV Virus ni CD4 even though kuna other targets like CCR5 & CXCR4.
nipunguze story inshort ni kwamba immunity ikianza kupunguwa hii inatoka na kupunguwa idadi ya CD4 cells.. kuna oportunistic infections zinatokea... kwenye report hapo juu imeandikwa hivi...
pamoja na kwamba report yao wamedesa but hapo kwenye RED inaweka wazi inapunguza opportunistic infections esp. HSV not HIV!!! Still HIV hawana cure man..! watu wapo lab wanaumiza vichwa... na jibu kamwe haliwezi kutoka porini.
i remember when i was 3rd yr i had a lecture with a Germany prof. about Infectious disease ... ikaja point aliongelea kuhusu HIV. On my curiousity nilikuwa na swali kila siku najiuliza kichwani na sipati jibu nikatumia fursa hiyo kumuuliza..
iwapo itatokea mtu ana Cell mutation on CD4 cell!! will they be susceptible na HIV viruses .akanambia since the key doesn't fit on a lock.. there would be no HIV infections...!! BUT untill now scientists wamenikiwa kufanya CD4 cell mutation katika labs na si ndani ya mwili wa binaadamu. akanimabia CD4 zinaumuhimu wake mwili kama zikiwa mutated obvious huyu binaadamu atakuwa na tatizo jingine la kiafya similar au worse than HIV infection.
kwa mimi naona Dirisha la kupata Community which will be free from HIV infections ni through cell mutations.. I believe there will be a break through one day!.. Scientist wapo labs wanaumiza vichwa jibu halipo liliondo kwa babu tujenge utamaduni wa kusoma medical journals kutoka hapa MMS: Error mtakuwa more updated. but for now!! tuwache uzinzi.. zinaa mbaya imekatazwa ndani ya vitabu vya dini!
peace out!
Hee daktari hapa si ndiyo unacheza na gene modification? Mwenyezi Mungu amepanga vitu kwa mpango wake, tukianza kucheza na hivyo ujue litakuja jengine kubwa zaidi ya hilo la HIV.
aise siyo wanasayansi wote wanaamini kuwa AIDS inasababishwa na HIV na wenyewe wana sababu za kisayansi vilevile ku support madai yao.Tuwe makini wakuu na wachakachuaji kina Gallo kabla hatujaanza ku suggest viji matibabu vyetu!