Kiko wapi chama kikuu cha upinzani CHAUMMA?

Kiko wapi chama kikuu cha upinzani CHAUMMA?

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
34,061
Reaction score
79,418
Hamjambo!

Kwa yeyote anayejua anijibu Hilo swali hapo juu. Itapendeza wafuasi wa chaumma wakiwa mstari wa mbele kujibu.
Natanguliza shukrani
 
Hivi na MREMA wa CHAUMMA anapokea ruzuku kiasi gani toka CCM?
 
Sema MO29; imefutilia mbali takataka nyingi,,Leo hii Catherine Ruge,Susana Kiwanga,,Stevin wasirra ,John Mrema wanaogopa kutoa kichwaa
 
Sema MO29; imefutilia mbali takataka nyingi,,Leo hii Catherine Ruge,Susana Kiwanga,,Stevin wasirra ,John Mrema wanaogopa kutoa kichwaa
Peter Msigwa, Zito, Halima Mdee nk wanaona aibu vibaya, maana kilichotokea 29 imekuwa kama game changer, na wao ni kama wamepishana na gari la mshahara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom