chama kikuu cha upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Heche: Ni kweli hakuna upinzani, CHADEMA ni chama kikuu cha siasa nchini

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amemjibu Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), Paul Chacha, akisema ni kweli Tanzania hakuna upinzani kwani CCM imegeuka kutoka kuwa chama cha siasa na kuwa genge la Dola lililojivalisha nguo za chama hicho. Chacha aliitoa kauli hiyo Agosti...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma: Siamini kama CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani

    Alichozungumza Mbunge kwa Podcast ya M&S Podcast ambapo amedokeza kuwa CHADEMA sio chama kikuu cha upinzani kwa sababu hawana mbunge yeyote bungeni kama ilivyokuwa zamani Nachukizwa ninapomwona Mbunge kama Musukuma anahojiwa na kudai haoni umuhimu wa CHADEMA kutambulika kama Chama Kikuu cha...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kiko wapi chama kikuu cha upinzani CHAUMMA?

    Hamjambo! Kwa yeyote anayejua anijibu Hilo swali hapo juu. Itapendeza wafuasi wa chaumma wakiwa mstari wa mbele kujibu. Natanguliza shukrani
  4. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Mkubwa Chaumma ikawa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi mkuu October

    Mpaka sasa Mpina ameshakosa sifa ya kugombea urais. Ushauri , Kama anaweza aende kisesa akagombee ubunge . Ila naona wazi Chaumma wanaenda kuwa Chama kikuu cha upinzani.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 wakati Chama Kikuu cha Upinzani Kimewekewa Vikwazo Mahakamani ni Uchaguzi Huru na wa Haki?

    Ikiwa uchaguzi ni kitu kikubwa katika Nchi na madhara yake yanaweza kuwa Mbaya Sana kama tukikosea, sasa tulisikia Mahakamani kwamba vitendo vya kuweka vikwazo Kwa Vyama vya upinzani Mwaka wa uchaguzi, sio jambo la haki. Je wahusika wapo tayari kupisha uchaguzi huru na wa haki
  6. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kinachofanya Chama kiwe Chama Tawala au Chama Kikuu cha Upinzani ni Uchaguzi

    Kitu kilichofanya CCM leo iitwe chama tawala na CDM iitwe chama kikuu cha upinzani ni uchaguzi uliopita. Ikitokea chama chochote kati ya hivyo viwili hakitashiriki uchaguzi ujao basi ni wazi kuna chama kipya kitachukua status mojawapo hapo. Ni kujidanganya kuamini kuwa utaendelea kuwa chama...
  7. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Godbless Lema amechapisha kwenye mtandao wa X kuwa CHAUMMA inakwenda kuwa chama kikuu cha upinzani

  8. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA siyo chama kikuu cha upinzani

    CHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi

    Chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi. Hakuna mtu atakayeenda kupiga kura na watu wasipo piga kura karibu nchi nzima, mtu asitokee akajitangaza kuwa ni Rais, hakuna Rais bila kupigiwa kura na wananchi nchi nzima na kuridhia...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya sasa ndio chama kikuu cha upinzani kinachoogopwa zaidi na mamlaka

    Mwenye macho haambiwi tazama Mwenye masikio haambiwi sikia Watanganyika si mapoyoyo kiasi hicho kwamba hawaoni na hawaelewi kinachoendelea Viongozi na wanachama wa CHADEMA kupigwa na kuteswa Viongozi na wanachama wa CHADEMA kubambikiwa kesi mbalimbali zisizo na dhamana Kutekwa na kupotezwa...
  11. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Kipanya Katunix Ya leo Inamaanisha Nini ACT kuwa Chama Kikuu cha Upinzani?

    Naona Zambarau Ikineemesha vizuri kabisa Kijani hapo Juu Baada ya CDM kususia Uchaguzi?
  12. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unawezaje kujiita chama kikuu cha upinzani wakati una mbunge mmoja na covid 19 uliyofukuza uanachama?

    Chadema mnachanganya mambo!! Kwa sasa chadema ni chama kidogo sana chenye mbunge Mmoja wa kuchaguliwa!!! Mmeharibu zaidi kwa kukataa kushiruki uchaguzi .Hili siyo sawa .kumbe hamna mipango mizuri kabisa!! Yani mnaamini kuwa mnaweza kishinda uchaguzi bila kuwa na wabunge wengi? Kwa nini...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo wamekaa mkao wa Simba muwindaji, Its a do or die game, wanaweza kuwa chama kikuu cha upinzani 2025-2030

    Namuona simba akiwa amejikunyata tayari kukamata windo lake. ACT wazalendo wamebakiza hiviiii tu wakamate kambi ya upinzani. Na kama wakifanikiwa kupata vichwa vikali bungeni, tunawasahau chadema kabisaaa na maisha yanaanza upya. Hapo strategist watakuwa wameanza vikao vya hapa na pale kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hakuwezi kuwa na uchaguzi Huru na Haki wakati unamuweka ndani Mwenyekiti wa chama kikuu cha Upinzani bila sababu zisizo na mashiko

    Unamuweka ndani Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini ili asifanye siasa. Hapa unatuma meseji gani, kwamba kama unazuia watu kufanya siasa za kudai mabadiliko, wewe uko tayari kufanya uchaguzi huru na wa haki?. Je, uko tayari kukubali kushindwa ukishindwa? Uko tayari wagombea wa chama...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ACT-Wazalendo baada ya kuwa Chama kikuu Cha upinzani Oktoba 2025

    Ewe mwanaJF, tupia ushauri wowote kwa hiki Chama ambacho mpaka Sasa kina dalili zote za kuwa Chama kikuu Cha Upinzani katika medani yetu ya siasa mara baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Unapendekeza wafanye nini' na kivipi. Karibuni!
  16. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Athari zitakazo jitokeza endapo CHADEMA (chama kikuu cha upinzani) haitashiriki uchaguzi Mkuu 2025

    Kukosekana kwa chama kikuu cha upinzani kushiriki uchaguzi mkuu katika nchi kunaweza kuwa na athari kadhaa za kisiasa, kijamii, na kiuchumi. Hizi ni baadhi ya athari zinazoweza kutokea: 1. Kudhoofika kwa Demokrasia Ushiriki wa vyama vya upinzani ni muhimu kwa kuhakikisha uwazi na uwajibikaji wa...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: CHADEMA imepoteza uhalali wa kukosoa jambo lolote!

    Wakuu, Makalla amenguruma leo kupitia Wasafi FM amedokeza kuwa kutokana na yanayoendelea CHADEMA chama hicho cha upinzani kimekosa uhalali na mamlaka ya kukosoa jambo lolote
  18. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi 2025

    Habari za mapumziko mabibi na mabwana. Jambo moja nataka watanzania wafahamu ni kwamba hii CHADEMA ya sasa inayoongozwa na FAM imechokwa na watawala hivyo watawala wapo Kazini kubrand Chama cha ACT Wazalendo kuwa Chama kikuu cha upinzanzani. Najua mtauliza kwa namna gani watawala wanataka ACT...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: CHADEMA kimepoteza mvuto, hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani

    Akizungumza na wanahabari Disemba 09, 2024; Kada wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa adai kuwa CHADEMA ni Chama ambacho kimepoteza mvuto hivyo hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani. "Wamepoteza dira, wamepoteza misingi ya chama chao, wamepoteza mvuto na kujiita chama cha upinzani kikuu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo vs CHADEMA: Kipi ndio chama kikuu cha upinzani?

    Habari zenu. Kwanza naandika kuuliza hili swali nikiwa mpya katika masuala ya siasa. Hivyo mnaponipatia majibu naombeni kuzodoana na kejeli na kukashifiana viwe pembeni. Tunaelimishana tu Kati ya act na chadema Kipi ndio chama kikuu Cha upinzani maana Kila redio kwenye taarifa za habari...
Back
Top Bottom