Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
Halafu kuna vidume vinajuaga mie kijike vinanitupia tu matongozo pm. Ngojeni siku niwale kabhanggg! Ndo mtaisoma namba.
Poor hubby ov mine
Usiseme hivyo shosti
Auntie ake na Kisura
nyani ngabu alikuwa anataka ushahidi wa mtu wa jinsia tofauti lakini id yake ni tofauti na jinsia yake!ushahidi huu hapa!husninyo jina la kike,kawaida anapost kikekike hususani jukwaa la wakubwa,lakini hapa anajitambulisha kama mwanaume!
beee eeh! Nimekumithii baba kisura.
Kabla hujafunga hesabu naomba unisaidie na mimiMe natoa kama msaada kumbe ndio inaitwa hongo? Ngoja niende pm nikapge hesabu nimehonga sh ngapi...
twenzetu kwenye kigodoro...kipo Komakoma leo
Inawezakuwa mumie
kisura atabaki na nani sasa?
Na bibi ake.....
Kwani.kumbe humu watu huwa wanatongozana????
Jiandae nakuja pm na mtongozo
ila vigodoro noumer, si unipeleke sehemu nzuri nikatoe ushamba!
Jiandae nakuja pm na mtongozo
Wapi pazuri?
Huniee njoo kwa bed!!