Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,515
- 7,530
Kusaliti uanaume au marinda...!?Kutoka na Mke wa Mtu ni ishara kubwa sana ya kuusaliti uanaume wako. Tuwatii wazee wetu Mke wa Mtu ni sumu.
Single mothers watakazwa na nani? Mnataka wasagane?Mwenye masikio na asikie. Hata mazoea ya kujinga kijinga na kujichekesha kwa wake za watu sio vizuri.
Single mothers watakazwa na nani? Mnataka wasagane wao kwa wao?Mbona sjaona point ya braza Mzee wa kupambania au hakuwepo?