Kikao cha tatu cha UKAWA vimefeli

Kikao cha tatu cha UKAWA vimefeli

ule ukawa uliofanya mdahalo ndio unapaswa kuungwa mkono na watanzania
 
Hee badoipo najua ilishakufa toka lipum a atanze uraisi

Kingine wamepewa.masharti kusani ukawa.na ruzuku itakuja kama ukawa mbio achakabsa
 
Ukawa mgekuwa na lengo la kusogea mbele mgefanikiwa lkn target ya kuchukua dola kwa 2015 itawapoteza bado mu wachanga sana wingi wa watu siyo sababu ya kuwa ndio uwezo wenu kwani mambo mengi mmekuwa mnafanya ki shabiki tuu na kelele nyingi huku mkitegemea nguvu ya umma huo cyo ukomavu wa kisiasa hamfai bado.
 
Chadema wanawatapeli wenzao. Wao wako bize mikoani wakijitangaza peke yao, wakati huo huo wanawazuia wenzako kujipambanua, wamewastukia.
 
Yaaani CCm wanavyogugumia maumivu ya ukawa ni kama binti anatolewa bikira...
 
Na bado mwaka huu tutawakaanga na Chama chenu cha baadhi ya wana Kigoma.
Ref Mfalme wenu ZZk
 
Ni kikao cha tatu sasa umoja katiba ya wanainchi vimeshindwa kufanyika baada ya Chadema kutoa udhru wa kutingwa na shughuli ndani ya chama, lakini wadau wa siasa wamebashiri ndio mwisho wa ukawa hii ni baada ya NCCR na CUF kupeleka vigezo vyao ambavyo inaonekana Kama kuitoa Chadema katika mbio za urais wa ukawa.

CHADEMA wawe makini wanaweza jikuta wanapoteza hata hivi viti vidogo walivyo nanvyo kwa tamaa ya mzee fisi.
 
Ukawa ilikufa lipumba alipotangaza nia,naiona saccos ya wachaga na bavicha wanavyokufa kibudu
 
Ukawa ilikufa lipumba alipotangaza nia,naiona saccos ya wachaga na bavicha wanavyokufa kibudu

mlianza cuf wapemba,cuf waislamu mkashindwa mkaja na uongo wa kishetani chadema wachaga mkashindwa,chadema wakiristor mkashindwa sasa nyie ccm dini gani?siku hivi mkituita chadema wachaga tunafurahi kwa kuwa wachaga wamejiunga na wapemba,waislamu wamejiunga na wakirstor
 
CHADEMA wawe makini wanaweza jikuta wanapoteza hata hivi viti vidogo walivyo nanvyo kwa tamaa ya mzee fisi.

Chadema nje ya ukawa ni wepesi kama karatasi,
Hivyo hawana ubavu wa kujitoa ukawa.
Wakijaribu kujitoa chama kimefia hapohapo.
 
Hivi nyinyi mmelishwa nini sijui?
mnawaza UKAWA tu, thamani ya shilingi inashuka kila siku nyinyi mnawaza UKAWA tu.
Raia wengi wanwachukia nyinyi mnawaza UKAWA tu.
Waleteeni waTZ maisha bora nyinyi mnawaza UKAWA tu.
Sasa inabidi tuwalete UKAWA ndipo matapona.

Hata mm nachukia haya mazezeta....mkuu
 
Tatizo Ukawa ni kundi la viongozi wenye malengo tofauti.
1.Mbatia anataka support ya kuwa mbunge wa Vunjo- hana interest ya Ukawa kuchukua nchi
2. Lipumba na CUF aim kubwa ni kuongeza majimbo/ viti bungeni
3. Chadema wana lengo ya kukamata dola

Small mind nishida...leta ushahidi
 
labda hujui kua ni katiba ya chadema pekee imeandika kua tayari kuungana na vyama vingine vya upinzani ili kuleta mshikamano kwa kuwaletea watanzania maendeleo ya kweli

Mkuu kuandika tu haitoshi, watu wanahitaji vitendo. Misahafu ya Mwenyezi Mungu ina mengi mazuri na bado watu hawafuati.
 
Chadema nje ya ukawa ni wepesi kama karatasi,
Hivyo hawana ubavu wa kujitoa ukawa.
Wakijaribu kujitoa chama kimefia hapohapo.
Ongea kama mtu mwenye kichwa bwana!! Unapozungumzia UKAWA, unakuwa unazungumzia Cdm, sasa wewe unaposema eti ikijitoa ndio mwisho wake!!? hata kama ni mahaba sio ya hivi, huo ni ujinga, Hao cuf, nccr na nld, wanafanya mikutano wapi ya kuhamasisha watu wajiandikishe?? kama sio cdm ambao hawalali, usiku na mchana, najua kuwa mnaandaa mamluki eti wawagombanishe ukawa, na mnaona endapo UKAWA, Ikisambaratika muathirika mkubwa ni CHADEMA, kwani hivyo vikura vikianza kugawanwa ndio pona yenu,, angalia BAVICHA, BAWACHA, hakuna kulala, nyie UVCCM, mko kwenye kazi ya UKUWADI tu kwa wagombea, sio maneno yangu, ni ya mwenyekiti wenu, huku UWT wao nao wako kwenye ushonaji madela tu!!! mwaka huu hata mkifunika kombe mwanahalamu hapiti. Ukawa inawanyima usingizi sana, tukutane October 25
 
Back
Top Bottom