Kikao cha tatu cha UKAWA vimefeli

Kikao cha tatu cha UKAWA vimefeli

naona unaweweseka na bado....................

Naweweseka mie au wewe?soma kichwa cha habari cha thread alafu linganisha na ulichoandika.
Naona ata ukilala usiku uwa unamuota Zitto.

Mtu mpaka kufikia hatua ya kujibatiza jina la Kigoma sababu ya Zitto?hivi huyu Zitto ana nin cha ajabu?msimpe title asiyokuwa nayo.
 
Tatizo Ukawa ni kundi la viongozi wenye malengo tofauti.
1.Mbatia anataka support ya kuwa mbunge wa Vunjo- hana interest ya Ukawa kuchukua nchi
2. Lipumba na CUF aim kubwa ni kuongeza majimbo/ viti bungeni
3. Chadema wana lengo ya kukamata dola

Mmmh,lengo kuu la ukawa ni kukamata dola,ambalo ndo lengo la chadema
 
Back
Top Bottom