Kikao cha tatu cha UKAWA vimefeli

Kikao cha tatu cha UKAWA vimefeli

Ukawa mgekuwa na lengo la kusogea mbele mgefanikiwa lkn target ya kuchukua dola kwa 2015 itawapoteza bado mu wachanga sana wingi wa watu siyo sababu ya kuwa ndio uwezo wenu kwani mambo mengi mmekuwa mnafanya ki shabiki tuu na kelele nyingi huku mkitegemea nguvu ya umma huo cyo ukomavu wa kisiasa hamfai bado.

CCM hamlali kwa hofu ya UKAWA? Kushika dola hakuna cha uchanga. Kura za rais na wabunge zikitosha dola tayari. Baada ya uchaguzi kinachobadilika ni rais na baraza la mawaziri tu vyombo vingine vinabaki kama vilivyo. Wananchi wanachotaka ni mabadiliko ktk itendaji na siyo 'business as usual' kama ccm walivyozoea. CCM acheni hofu na kuchonganisha Ukawa hila zenu ziko hadharani na hamwezi kutugawa safari hii.
 
Mkuu kuandika tu haitoshi, watu wanahitaji vitendo. Misahafu ya Mwenyezi Mungu ina mengi mazuri na bado watu hawafuati.

bas tulieni kama mnanyolewa wengi wengi hamjui kinachoendelea ndani ya UKAWA mnalopoka tu eti mtu anasema cdm nje ya ukawa ni kama karatasi mshasahau tuna wabunge wengi kuliko mpzn yeyote tena kwenye miji mikubwa teh teh teh
 
Chadema nje ya ukawa ni wepesi kama karatasi,
Hivyo hawana ubavu wa kujitoa ukawa.
Wakijaribu kujitoa chama kimefia hapohapo.

hata ccm mkuu nje ya kulindwa na vyombo vya dola ni wepesi kama unyoya....
 
Ongea kama mtu mwenye kichwa bwana!! Unapozungumzia UKAWA, unakuwa unazungumzia Cdm, sasa wewe unaposema eti ikijitoa ndio mwisho wake!!? hata kama ni mahaba sio ya hivi, huo ni ujinga, Hao cuf, nccr na nld, wanafanya mikutano wapi ya kuhamasisha watu wajiandikishe?? kama sio cdm ambao hawalali, usiku na mchana, najua kuwa mnaandaa mamluki eti wawagombanishe ukawa, na mnaona endapo UKAWA, Ikisambaratika muathirika mkubwa ni CHADEMA, kwani hivyo vikura vikianza kugawanwa ndio pona yenu,, angalia BAVICHA, BAWACHA, hakuna kulala, nyie UVCCM, mko kwenye kazi ya UKUWADI tu kwa wagombea, sio maneno yangu, ni ya mwenyekiti wenu, huku UWT wao nao wako kwenye ushonaji madela tu!!! mwaka huu hata mkifunika kombe mwanahalamu hapiti. Ukawa inawanyima usingizi sana, tukutane October 25

Chadema bila Zitto ilipwaya kama kishada ikajipachika kwenye UKAWA ambao ndio mpaka sasa chadema Inapumulia, So bila ukawa chadema ni pumba tupu.
 
Ukawa mgekuwa na lengo la kusogea mbele mgefanikiwa lkn target ya kuchukua dola kwa 2015 itawapoteza bado mu wachanga sana wingi wa watu siyo sababu ya kuwa ndio uwezo wenu kwani mambo mengi mmekuwa mnafanya ki shabiki tuu na kelele nyingi huku mkitegemea nguvu ya umma huo cyo ukomavu wa kisiasa hamfai bado.
kwa hiyo mheshimiwa unaona CCM iliyoporomosha uchumi ikitoa dola kutoka 650 mpaka 2250 ndani ya miaka kumi, ikilazimisha katiba iliyo tofauti na iliyopendekezwa na wananchi, inayolazimishia sheria zinazokandamiza raia ndiyo inafaa zaidi kuliko UKAWA iliyojaa vichwa vilivyowashauri zaidi ya mara moja juu ya kufufua viwanda vya ndani ku boost uchumi, ukawa inayotetea katiba iliyopendekezwa na wananchi, inayosimama dhidi ya sheria zinazomkandamiza raia? Sasa wewe hao unaowaona mashabiki tu, UKAWA wanajua ndiyo wapiga kura wao na kama siyo kura za hao watu wengi zitakazowapa uongozi basi ni nini? kwenye siasa nguvu ya umma ndiyo kila kitu, unafikiri ni bure lowassa kukodisha gari zote za usafiri mbeya akabebee watu aliowanunua kuudhuria vikao vyake ili aonekane ana support kubwa ya umma? mambo yamebadilika ndugu, ni kweli ukawa tuna support kubwa na viongozi wenye uwezo mkubwa wa kufikiria na kutatua matatizo na ndiyo sababu tunastahili dola kuliko ccm
 
Ni kikao cha tatu sasa umoja katiba ya wanainchi vimeshindwa kufanyika baada ya Chadema kutoa udhru wa kutingwa na shughuli ndani ya chama, lakini wadau wa siasa wamebashiri ndio mwisho wa ukawa hii ni baada ya NCCR na CUF kupeleka vigezo vyao ambavyo inaonekana Kama kuitoa Chadema katika mbio za urais wa ukawa.

Ok tukubali kuwa kikao cha tatu cha Ukawa kimevunjika. Lakini CUF, NCCR-Mageuzi na NLD ambao ni wanachama wenza wanasema kila siku kuwa Umoja wao ni Imara na mambo yanaenda vizuri.
Lakini anajitokeza mkigoma mwanachama mtiifu wa ACT -wazalendo yeye ndio analalamika kuwa Ukawa inasambaratika na kuwa ubashiri (wao) unaonekana kutimia.
Hata chizi anaelewa malengo ya thread hii, ila kama walivyo sema Lipumba, Makaidi kule Masasi na Mbatia kwa nyakati tofauti kuwa wako Imara basi hilo ndio la kuamini.
 
Last edited by a moderator:
Ongea kama mtu mwenye kichwa bwana!! Unapozungumzia UKAWA, unakuwa unazungumzia Cdm, sasa wewe unaposema eti ikijitoa ndio mwisho wake!!? hata kama ni mahaba sio ya hivi, huo ni ujinga, Hao cuf, nccr na nld, wanafanya mikutano wapi ya kuhamasisha watu wajiandikishe?? kama sio cdm ambao hawalali, usiku na mchana, najua kuwa mnaandaa mamluki eti wawagombanishe ukawa, na mnaona endapo UKAWA, Ikisambaratika muathirika mkubwa ni CHADEMA, kwani hivyo vikura vikianza kugawanwa ndio pona yenu,, angalia BAVICHA, BAWACHA, hakuna kulala, nyie UVCCM, mko kwenye kazi ya UKUWADI tu kwa wagombea, sio maneno yangu, ni ya mwenyekiti wenu, huku UWT wao nao wako kwenye ushonaji madela tu!!! mwaka huu hata mkifunika kombe mwanahalamu hapiti. Ukawa inawanyima usingizi sana, tukutane October 25
watu mnaosapoti ukawa ni vichwa, sasa wewe ungeongoza nchi ingawa huitwi doctor na uhakika hata dola ingekua labda 1000 sasa hivi, unachanganua mambo kisomi,hauropoki hovyo na unalenga kunako . asee kwanzia leo mimi ukawa, kadi yangu ya uanachama wa ccm nimempa house geli akazombee kinyeshi cha mtoto,na by the way tisheti zao ni nzuri kweli kwa kudekia. unajua nini? logically speaking, UKAWA ni UMOJA WA VYAMA VINAVYOSAPOTI KATIBA YA WANANCHI, sasa mwananchi yeyote anayeipinga ni MOJA KATI YA WANANCHI WANAOSAPOTI KATIKA YA MAFISADI, na bila shaka kama viongozi wao wamehamasishwa na kitu kidogo kusaliti wananchi wenzao, shame on them. kwifo nichaa
 
bas tulieni kama mnanyolewa wengi wengi hamjui kinachoendelea ndani ya UKAWA mnalopoka tu eti mtu anasema cdm nje ya ukawa ni kama karatasi mshasahau tuna wabunge wengi kuliko mpzn yeyote tena kwenye miji mikubwa teh teh teh
hawa watu wana nia ya kutenganisha ukawa, tukianza kuhesabiana majimbo na kunyoosheana vidole kuwa sisi cdm tuna wengi kuliko cuf tutaleta ushindani baina yetu na mwishowe tutatengana. sisi ni ukawa, sifa yetu ni hekima,akili,magezi, ujiniasi na ukichwa. sisi ni wa moja, tunajua kuwa akipata cuf tumepata cdm na alipopata cdm kapata cuf na nccr pia. inawezekana kuwa cdm ina wabunge wengi kuliko cuf ila kama ukawa tuna wabunge wengi kuliko chadema au cuf au nccr alone. kaka yangu katika chadema, kwa tulivyowabana ccm hawaponyoki hata wavue nguo halafu wajipake grisi..
 
pigo la mwaka huu hawainuki tena UKAWA KAMA KAWA
 
Chadema bila Zitto ilipwaya kama kishada ikajipachika kwenye UKAWA ambao ndio mpaka sasa chadema Inapumulia, So bila ukawa chadema ni pumba tupu.
eh! na wewe vipi tena? umefikira ukiwa umesimama kichwa chini miguu juu au? kwasababu hiyo ipo inverse, ZITTO KAPWAYA BILA CHADEMA. CHADEMA haikujipachika UKAWA, tena ndiyo iliyopropose the union, kujipachika inamaanisha ukawa ingetakiwa iwepo kabla hata ya chadema. hawa watu bana, ccm inawatoa wapi nyie?
 
Ongea kama mtu mwenye kichwa bwana!! Unapozungumzia UKAWA, unakuwa unazungumzia Cdm, sasa wewe unaposema eti ikijitoa ndio mwisho wake!!? hata kama ni mahaba sio ya hivi, huo ni ujinga, Hao cuf, nccr na nld, wanafanya mikutano wapi ya kuhamasisha watu wajiandikishe?? kama sio cdm ambao hawalali, usiku na mchana, najua kuwa mnaandaa mamluki eti wawagombanishe ukawa, na mnaona endapo UKAWA, Ikisambaratika muathirika mkubwa ni CHADEMA, kwani hivyo vikura vikianza kugawanwa ndio pona yenu,, angalia BAVICHA, BAWACHA, hakuna kulala, nyie UVCCM, mko kwenye kazi ya UKUWADI tu kwa wagombea, sio maneno yangu, ni ya mwenyekiti wenu, huku UWT wao nao wako kwenye ushonaji madela tu!!! mwaka huu hata mkifunika kombe mwanahalamu hapiti. Ukawa inawanyima usingizi sana, tukutane October 25

Inavyoonekana huijui cdm,
Nikukumbushe kidogo baada ya uchaguzi 2010 cdm walikataa kuunda kambi ya rasimi ya upinzani kwa kuwashirikisha cuf,kwa hoja kwamba cuf wamefunga ndoa na ccm.
Unafikiri walipokubali kuunda ukawa ndoa ya cuf na ccm ilikuwa imevunjika?

Ninachoamini hii ilikuwa hofu ya kujaribu kutengeneza umoja wa wapinzani kujaribu kujinusuru na kumeguka kwa chama kufuatia kumfuta uanachama aliyekuwa naibu Katibu mkuu ndugu ZUBERI ZITO KABWE.
Kwa hoja kwamba chama kipya cha upinzani hakiwezi kupambana na ukawa na kupata uungwaji mkono.

Narudia tena cdm wakijaribu kujitoa ukawa chama kitakufa kifo cha mende kwani hakitaweza kuhimili mashambulizi.
 
Mwaka huu hatuyumbi wala hatudanganyiki,ongeeni mengi,andikeni mengi ila kuzikwa CCM ni october 25 mwaka huu.UKAWA ndiyo kaburi kubwa lililo chimbwa kuwa makazi ya milele ya ka ccm.
 
MODERATORS FUTENI TENA....

kumekua na tabia za hawa moderators kufuta coments au post zinazoonyesha mpasuko wa Udini na Ukabila unaopandikizwa na Zitto mwenyewe hapa Kigoma, kinachosemwa ni hakika ukweli, fanyeni utafiti kabla ya kufita posts za watu. watu wanatupaka vinyesi tukisema ukweli mnadelete post.

hay nipigeni ban na mimi.
 
Ata ungejiita Moshi ungeeleweka tu, sio lazima mpaka ujibatize jina la Kigoma.Kujibatiza jina la Kigoma badala ya Moshi ni dalili kuwa unajishtukia.
 
CCM Wanaangaika wameshindwa kuimaliza chadema tupo tumaimarisha misingi tunaanikiza nchi nzima Zitto anaisaidia CBM lakini ameshindwa.
 
Back
Top Bottom