Kikao cha Siri Ridhwani na Membe Uwanja wa Ndege



Jamani, sometimes tukubali Riz1
anastahili uPrince,

tusiwe wasahaulifu, ni juzi tu tumefanya uchaguzi, pamoja na kuwa jk hakushinda!...lakini tumesahau kampeni ilikuwa ya familia baada ya wazee ccm kumsusia?...jk, riz1, na malkia salma walikuwa wanahaha mikoani kupiga kampeni..mmesahau? sasa kwanini asiwe Prince?

Matusi yako ungeyasikia ungeenda kwa waganga

we dont have no prince wala sh!t
 
Can you imagine Hillary Clinton meeting wish Sasha to pass a message to Obama?
and we expect Membe to rally for presidency!!!!!!!!!!!!!!!!

what a president wasting time talking to hhhooooheeee (Jorge) for access to Mr. President??

naskia pressure inapanda
 
mtu mzima upo karibu sana na system...if next time you get to them this close,.do something right for your beloved country...you know what i mean.
 
Handsome wa mama sina cha kuchangia katika maswala ya kipuuzi namna hii
 
Yaani Membe, waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa anahitaji kupeleka ujumbe kwa bosi wake kupitia mwana mfalme?
Tunaelekea wapi?
........anatafuta urais kupitia dog sio, watanzania tumpinge huyu kwa nguvu zote, hana tofauti na mkuu wa kaya, ni mtumwa wa mawazo mgando, mtu wa kujipendekeza, unaweza sema na ukawa hujakosea kwamba ni mnafiki au kikwetu tunamwita mfyukunyuku.
 
Matusi yako ungeyasikia ungeenda kwa waganga

we dont have no prince wala sh!t


basibasi yatosha MTM,......

riz1 anachofanya ni kung'ang'ania kupanda juu ya mti usokuwa na matawi, sasa pakushika hapaoni anabakia kuchakurachakura!

LOWASA kesha waacha mbaaaaaaali kwa speed ya mbali kuelekea ikulu, sasa ndo mukama kabakia kutangaza lazima mafisadi waondoke.!

 
Membe anavyoongea kinafki nafki na sauti yake kama ya m.kwere, hastahili kuwa raisi,hatakuwa mtu wa maamuzi magumu kama mkuu wa kaya
 
Najua upo karibu sana na Membe, sasa next time ukileta habari, kama habari yako ina mapungufu kama hii, jaribu kutuwekea hata kapicha ulikoweza kupiga kwa simu.


iL Gambino.
 
Back
Top Bottom