Kikao cha Siri Ridhwani na Membe Uwanja wa Ndege

Mnajuaje kama kilikuwa kikao??

Hawa ni wanaume wawili waliokutana kwa about one hr...........Mnakumbuka Cameroon alituambia nini??:juggle:

cameron ni waziri mkuu wa uingereza kwa tiketi ya chama cha conservative chenye urafiki wa karibu na chadema. Hakuna wenye uhakika kama mahusiano hayo yanaishia kwenye siasa
 
Hizi ni desperate attempts za watu walioutangazia umma kwamba kikao cha NEC kimewafungulia njia. Sasa tunashangaa tembo kuweweseka akimuona sisimizi na yeye alishajiita giant. Wamegundua kwamba ile ilikuwa ni tactical retreat na sasa battle royale iko mbele yao. Let me tell you! No water can put out this fire!
 
Back
Top Bottom