padri slaa mjanja sana amepakimbia uzini ili matokeo yakitoka awe na lakujitetea
padri slaa mjanja sana amepakimbia uzini ili matokeo yakitoka awe na lakujitetea
Ndiyo raha ya JF...Bahati nzuri Dr Slaa yumo humu, kama hutajali Dr. unaweza kutufafanulia zaidi kuhusu huu ushirikiano mpya
Bahati nzuri Dr Slaa yumo humu, kama hutajali Dr. unaweza kutufafanulia zaidi kuhusu huu ushirikiano mpya
There are currently 57 users browsing this thread. (18 members and 39 guests)
padri slaa mjanja sana amepakimbia uzini ili matokeo yakitoka awe na lakujitetea
padri slaa mjanja sana amepakimbia uzini ili matokeo yakitoka awe na lakujitetea
Dr. Slaa amesepa maake hakutarajia haya mambo yatafika humu. Hii siri itakuwa imevujishwa na wana NCCR.
Perhaps Slaa hakuwa kisiasa zaidi na pengine alikwenda kumsalimia tu SHEMEJI yake SAM RUHUZA (Kaka na ndugu wa ukoo ama kikabila ) wa mkewe Josephine Mushumbusi.
Sijui kama unafahamu, lakini mapadre ni moja ya watu wenye akili sana tofauti na maamuma wenu. Kwa hiyo unaweza ukadhani kwa kumuita "padre" unamkebehi kumbe wenye akili humu wanafurahi kwa kuwa unakiri uwezo wake mkubwa wa akili pasipo kujijua.
Nimepata taarifa kuwa Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Slaa anaelekea kwenye ofisi za NCCR mageuzi kwa mazungumzo na katibu mwenzake Sam Ruhuza. Nafuatilia kujua kipi kinazungumzwa kati ya makatibu hao wawili then nitawaletea hapa jamvini soon!
Updates:
Taarifa ni kwamba CHADEMA na NCCR wamekubaliana kuungana na kusameheana katika kila jambo walilowahi kutendeana na wamekubaliana kushirikiana kuanzia sasa. Katika makubaliano hayo Mbatia amefuta kesi ya uchaguzi dhidi ya Halima Mdee kesi namba 101 ya mwaka 2010. Kuanzia sasa wamekubaliana kufanya kazi kwa ushirikiano kwa lengo la kuimarisha upinzani na kuhakikisha CCM inang'oka mwaka 2015. Makubaliano hayo yamesainiwa na DR Slaa na Sam Ruhuza katika ofisi za NCCR Mageuzi dakika chache zilizopita.
yaani cdm inaungana na mbatia huyu huyu mnaedai ni pandikizi la ccm - kweli hamtabirirki
NCCR sio Mbatia. Hata mtoto wa darasa la kwanza analielewa hilo inakuwaje wewe hulielewi? tafakari kwanza uwezo wako kisha njoo humu jamviniYaani CDM inaungana na Mbatia huyu huyu mnaedai ni pandikizi la CCM - Kweli hamtabirirki