andrewk
JF-Expert Member
- Apr 13, 2010
- 3,102
- 488
sasa chadema inaenda kufa rasmi kabla ya 2015!!mbatia can never be trusted,...kama moja ya makubaliano ni kufuta kesi ya kawe,mimi napinga,huwezi kuua chama kizima kwa jimbo moja..kwani mdee kashajua kuwa atashindwa kesi?
nadhani hatujui wameongea nini, sasa kama moja ya hoja katika makubariano ni kufuta kesi sawa, la kushirikiana ni kama kuachiana majimbo pale ambapo chama fulani kina nguvu, NCCR walitaka wachiwe jimbo la kawe, cdm walikataa, maana usidhani harakati za Mh. mdee pale zilianza wakati wa kuchukua form tu, alifanya utafiti na akajua anakubalika pale, sasa mbatia nae akaja bila utafiti wowote, kwa hiyo yako ya kushirikia kama vyama vya upinzani