Kikao cha NEC ya CCM yampongeza Mh. Edward Lowassa, mjini Dodoma

Kikao cha NEC ya CCM yampongeza Mh. Edward Lowassa, mjini Dodoma

Vipi yule fisadi mkuu wa chenji ya rada aliyeandika katiba hajapongezwa? Mbona chama chetu kinaendekeza ubaguzi? Teh teh..
 
Hilo jengo Lipo/litakuwa wapi hapa Tanzania??

Anyway waache waendelee kujenga, hivi vitakuwa vitegauchumi vya TAIFA hapo mwaka 2016 baada ya ccm kufurushwa madarakani.

BACK TANGANYIKA
 
Nape hakuna kitu na mzee akishiaka nchi Nape tafuta kazi ya kufanya si ulikuwa unauponda huu mradi?Lowasa ni mzee wa maamuzi mazito ndiye anayehitajika hapa nchini kwa 2015.kwani hata chuo kikuu dodoma kama sio Lowasa kingejenga?waulizeni wakuu wa mikoa na wakurugenzi kama unafikiri natania,unasema elinewinga unasema nini
 
Subirini Nape atakuja kukanusha hii habari hapjf ndoo mtajuwa ana ubongo wa kupe!
Hahahahaha eti ubongo wa kupe........ila kweli jamaa kwa akili zake anaweza, ila sisi tuliopo kwenye kikao tutamuumbua soon video zinakuja mkuu wala usijali hili
 
Habari yake imeshaisha ajipange kuwa kiongozi wa wazee wa kimila.
 
Kikao Cha Jana Cha NEC{halmashauri Kuu Ya CCM -Taifa} Pamoja Na Mambo Mengine Kilitoa Pongezi Maalum Kwa Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Ngoyai Lowassa Kwa Kubuni Na Kusimamia Ujenzi Wa Jengo kubwa La Kitega Uchumi kwa ajili ya Umoja Wa Vijana{UVCCM}
kamanda funguka vizuri haraka ya nini maana hujasema 啊么破。gezwa kivipi
 
Nape hakuna kitu na mzee akishiaka nchi Nape tafuta kazi ya kufanya si ulikuwa unauponda huu mradi?Lowasa ni mzee wa maamuzi mazito ndiye anayehitajika hapa nchini kwa 2015.kwani hata chuo kikuu dodoma kama sio Lowasa kingejenga?waulizeni wakuu wa mikoa na wakurugenzi kama unafikiri natania,unasema elinewinga unasema nini

Hahahahaha mkuu Nape aliupinga sana sasa anaona aibu sana aisee.......Ila Lowassa hata akishinda awezi kumtupa, Lowassa hana chuki kabisa sio kama yule aliyetangaza kuwa akiwa rais watu 11 watahama nchi na juzi alipokuwa Marekani alirudia kauli yake na kuongeza kwa sasa wamefikia maadui 21 sasa sijui atawauwa au kuwanyonga du Membe ana hasira mbaya sana, mtu mwenye akili timamu unawezaje kusema una maadui 21 ukiwa rais watahama nchi, Aisee huyu jamaa naye sijui hana washauri
 
Kikao Cha Jana Cha NEC{halmashauri Kuu Ya CCM -Taifa} Pamoja Na Mambo Mengine Kilitoa Pongezi Maalum Kwa Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Ngoyai Lowassa Kwa Kubuni Na Kusimamia Ujenzi Wa Jengo kubwa La Kitega Uchumi kwa ajili ya Umoja Wa Vijana{UVCCM}

Basi japo wamuombe Lowasa amueleze huyo MUHINDI aliyejenga hapo aache dharau kwa Mheshimiwa Rais, nshamsikia kwa masikio yangu akiwaambia wahindi wenzake kwamba wasiwe na wasiwasi yeye ana mmudu Mheshimiwa Rais, atamuita nyumbani kwake waongelee swala lake, na kweli akampigia mbele yao.

hii ni dharau.

Hata kama anajua mheshimiwa ni dhaifu, basi iwe siri yake.
 
Back
Top Bottom