Kikao cha Katiba kinachojumuisha wajumbe 30.

Wajumbe wa CCM kupitia viongozi wa dini wameshalamba posho tayari, wakati wenzao wa UKAWA wamesusa.Habari za uhakika kutoka kwa wajumbe waliohudhuria wamelalamikia wenzao wa UKAWA kwa kufanya wapate posho ndogo na kukosa vitafunwa na juice ya Ikulu.
 
Back
Top Bottom