Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,979
- 132,652
Mkuu Yahana Mbatizaji, johnthebaptist , amen, amen!.Tumuombee mwanaJF Pascal Mayalla apitishwe
Wote tuseme Amen!
Hili jambo nimelianzia hapa Wana JF, niko mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba baraka zenu & moral support yenu jambo langu hili liwe! Mniombee Mungu asaidie, awezeshe liwe!
Nikakumbana na Kikwazo cha kwanza hapa Licha ya vikwazo kadhaa, hatimaye nimefanikiwa kuianza ile safari. Asanteni kwa sala zenu zimesaidia ila bado zinahitajika sana! Mungu nisaidie
Nikatoa ushauri kwa chama changu kuhusu EALA Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo
Kazi ya Uelimishaji Umma kuhusu EAC inaendelea Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Fursa za Mtangamano
Tukaitwa Dodoma kuhojiwa, huko nikakutana na A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!
Sasa leo ndio kikao cha CC kuchuja majina, hivyo sala zenu zinahitajika sana kuliko wakati mwingine wowote!.
Mungu Nisaidie!.
P