Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

Kweli kweli kweli daimaaaa,Chama hakina mvutošŸ¤”
1662565788647.png

Duh...!, ama kweli kuna vitu wenye macho wanaona na hawahitaji kuambiwa kuhusu mvuto, ila kiukweli kila mtu ana macho yake na mvuto wake!. Kama kwako CCM haina mvuto!, sijui ni chama gani kwako kina mvuto maana...
P
1662565788647.png
 
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumatano 7 Septemba 2022 ataongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam.View attachment 2348394
hawa wameshachoka kabisa tozo kila siku mifumo ya haki imefungwa mikono suluhisho ni katiba mpya tu
 
Huyo aliyewapa semina ya jinsi ya kuweka mikono yao anajua kazi yake.
 
P tupe mrejesho kwanza Kwa maslahi ya taifa mengine achana nayo kwanza,je umefanikiwa kwenye mbio zakošŸƒ
Mrejesho haujatangazwa, ila kama ni sifa, sifa ninazo, ila tuko wagombea 187 hivyo
1. Kuna uwezekano kuna walio na sifa kuliko mimi
2. Mimi nina makandokando fulani, hivyo chama kinaweza kuamua kuteua watu wenye sifa pungufu lakini ni crystal clear na clean bila makandokando yoyote.
Kandokando langu kuu ni hili A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!
P
 
Thanks God for change, this time wanakutana Lumumba na sio on my state House, ccm wote humu tambueni center of power ipo Lumumba SIO Ikulu, mimi nikienda ikulu ni haki yangu ila huwezi kunikuta naenda Lumumba!
Jiwe aliharibu nchi
 
Back
Top Bottom