Kikao cha jukwaa cha kufunga mwaka

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
ee_meeting.jpg

MAADA ZA KIKAO.

1. NANI AMEKUWA MTOA MAADA MZURI (MAADA ZINAZO JENGA JAMII)?

2. NANI AMEKUWA MCHANGIAJI MZURI, MWENYE LUGHA NZURI NA ANAPASWA KUPONGEZWA?

3. JE NANI ANATAKIWA AFUNGIWE, ASIKANYAGE KABISA KATIKA JUKWAA LETU??

4. NI MAMBO GANI YAMEKUKERA KATIKA JUKWA HILI KWA MWAKA 2010.

5. NI MAADA ZIPI UNAPENDA ZIRUHUSIWE KATIKA JUKWAA HILI KWA MWAKA 2011.

6. JE UMESAIDIKA KWA KIWANGO GANI NA JUKWAA HILI KWA MWAKA 2010?

7. JE NINI KIZINGATIWE ILI KUBORESHA JUKWA LETU KWA MWAKA 2011??

TUNAOMBA MCHANGO WAKO
.
KARIBU SANA.

NB: MWENYEKITI ANAWEZA KUJITOLEA, KITI KIPO WAZI
 
No 6......nimepata faida ya kutengeneza marafiki wapya wenye moyo wa upendo, wazuri, watanashati......na ninategemea kutengeneza wengi zaidi ifikapo 2011.....kupitia Jamii Forums.....Happy New Year
 
Umesahau pia kuwa umepata SHEMEJIIII!!!!

No 7......nimepata faida ya kutengeneza marafiki wapya wenye moyo wa upendo, wazuri, watanashati......na ninategemea kutengeneza wengi zaidi ifikapo 2011.....kupitia Jamii Forums.....Happy New Year
 
nimejifunza mambo mengi sana kupitia jukwaa letu hili,naamini mwaka 2011 tutakuja na mambo mengi mazuri zaidi.kuhusu watu walionivutia kwakweli ni wengi 1.MJI
2.PJ
3.ACID
4.NYAMAYAO
5.FIRST LADY
6 FINEST
7.MAMA BIG
8DA SOPHY
9 KIIZA
10 SR RR
11 BIRIGITA
12. ROSE 1980
13. NA WENGINE WENGI sintoweza kuwataja wote lakini michango yao imesaidia kubadili fikra zangu na kunifundisha kwenye mambo mengi ,sidhani kama itakuwa busara kuwafungia baadhi ya watu wasiingie ama kutoa michango yao maana hata kwenye mchele kuna pumba tusitegemee mawazo yetu kufanana kila wakati na wakati mwingine kupitia pumba izo izo tunazotoa tunajifunza kutoka kwa wengine
kikubwa ni kuangalia kuna baadhi ya post humu sidhani kama zina maana ni kuziignore na kuzireport zifungiwe mara moja hatuwezi kila wakati kuongelea ngono ngono tu kuna mambo ya maana ya kujadili kuhusu mahusiano na jamii yetu kwa jumla na sio kuwa washabiki wa mambo ya ajabu kila wakati nafikiri kuna watoto humu maana post nyingine mh???????? IKIWA YAMEBAKIA MASAA MACHACHE NAWATAKIA MWAKA MPYA MWEMA NASALI WOTE TUUVUKE SALAMA INSHALLAH

ee_meeting.jpg

MAADA ZA KIKAO.

1. NANI AMEKUWA MTOA MAADA MZURI (MAADA ZINAZO JENGA JAMII)?

2. NANI AMEKUWA MCHANGIAJI MZURI, MWENYE LUGHA NZURI NA ANAPASWA KUPONGEZWA?

3. JE NANI ANATAKIWA AFUNGIWE, ASIKANYAGE KABISA KATIKA JUKWAA LETU??

4. NI MAMBO GANI YAMEKUKERA KATIKA JUKWA HILI KWA MWAKA 2010.

5. NI MAADA ZIPI UNAPENDA ZISIRUHUSIWE KATIKA JUKWAA HILI KWA MWAKA 2011.

6. JE UMESAIDIKA KWA KIWANGO GANI NA JUKWAA HILI KWA MWAKA 2010?

7. JE NINI KIZINGATIWE ILI KUBORESHA JUKWA LETU KWA MWAKA 2011??

TUNAOMBA MCHANGO WAKO
.
KARIBU SANA.
 
Umejiunga Novemba, leo Desemba unaitisha kikao, umewajua members kwa undani? Sasa hapo ndipo inapoonekana faida ya kujiunga mapema. Nasubiri member mwingine aliyetimiza mwaka humu aje kuitisha kikao cha mwaka, sio member ana mwezi mmoja anaitisha kikao cha mwaka!
 
mpendwa...wengine ni mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya.....stukaaa
 
umejiunga novemba, leo desemba unaitisha kikao, umewajua members kwa undani? Sasa hapo ndipo inapoonekana faida ya kujiunga mapema. Nasubiri member mwingine aliyetimiza mwaka humu aje kuitisha kikao cha mwaka, sio member ana mwezi mmoja anaitisha kikao cha mwaka!

niwie radhi kama , nimekosea. Japo nafurahi kwa kuwa umesha hudhuria na asante kwa mchango wako mzuri. Mungu akubariki.
 
Enjoy

1. Nani amekuwa mtoa maada mzuri (maada zinazo jenga jamii) - nadhani mmu kuna wengi mno si rahisi kusema one person na majukwaa mengine pia ila there are outstanding with m.m.m leading the pact

2. Nani amekuwa mchangiaji mzuri, mwenye lugha nzuri na anapaswa kupongezwa? Wengi kasoro ms, dar es salaam na poyoyo

3. Je nani anatakiwa afungiwe, asikanyage kabisa katika jukwaa letu?? hakuna, hiyo siyo spirit ya mmu....

4. Ni mambo gani yamekukera katika jukwa hili kwa mwaka 2010. matusi

5. Ni maada zipi unapenda zisiruhusiwe katika jukwaa hili kwa mwaka 2011. mmu related

6. Je umesaidika kwa kiwango gani na jukwaa hili kwa mwaka 2010? a million ways dude... Hakuna hata pa kuanzia, i have hunders more friends see and talked to through mmu

7. Je nini kizingatiwe ili kuboresha jukwa letu kwa mwaka 2011??[/font][/b] kuheshimiana na kupendana

tunaomba mchango wako - umepata
.
 
Enjoy

5. Ni maada zipi unapenda zisiruhusiwe katika jukwaa hili kwa mwaka 2011. mmu related

tunaomba mchango wako - umepata
.

Thanks a millions acid,lakini hapo kwenye nyekundu, nahisi kama hujasoma vizuri swali.
 
No 6......nimepata faida ya kutengeneza marafiki wapya wenye moyo wa upendo, wazuri, watanashati......na ninategemea kutengeneza wengi zaidi ifikapo 2011.....kupitia Jamii Forums.....Happy New Year
congrats mrembo!!
 
Umejiunga Novemba, leo Desemba unaitisha kikao, umewajua members kwa undani? Sasa hapo ndipo inapoonekana faida ya kujiunga mapema. Nasubiri member mwingine aliyetimiza mwaka humu aje kuitisha kikao cha mwaka, sio member ana mwezi mmoja anaitisha kikao cha mwaka!

Alikuwa guest kabla hajawa member. So he is Ok. JK hakujiunga na CCM kabla ya Kingunge na sasa anawaita kunako mduara!
 
Thanks a millions acid,lakini hapo kwenye nyekundu, nahisi kama hujasoma vizuri swali.
mkuu nimekuelewa sana na n=mimi kwangu ningependa mada zinazohusiana ma mahusiano, mapenzi na urafiki (MMU) na sio matusi, na kejeli

MMU is the richest forum when it comes to humanity and friendship... hata life ya wana-MMU haihitaji kujifichaficha kama majukwaa mengine
 
Sorry acid,hili swali nimelikosea, ngoja niMEbadilishA. asante.
 
Nimefuraìa maisha toka nimejiunga hapa nawashukuru wanajamii wote
 
Back
Top Bottom