The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
- Thread starter
- #21
Karibu Sana mnakaribishwaTusio wanachama wa SACOSS lakini ni wanachama hai wa JF tunaruhusiwa kufika kutakasa macho?
Karibu Sana mnakaribishwaTusio wanachama wa SACOSS lakini ni wanachama hai wa JF tunaruhusiwa kufika kutakasa macho?
Mkuu ukifika Kinondoni unashuka kituo kinaitwa Manyanya hapo kuna Petrol Station ya BP kawaida huwa inaitwa Mwanamboka sasa nyuma yake ndio kuna hiyo sehemu inaitwa Mexico PubSawa mkuu by the way unaweza kuelekeza zaidi ili tupafahamu vizuri hapo mahali?
Thanks
Mkuu ukifika Kinondoni unashuka kituo kinaitwa Manyanya hapo kuna Petrol Station ya BP kawaida huwa inaitwa Mwanamboka sasa nyuma yake ndio kuna hiyo sehemu inaitwa Mexico Pub
haya wajameni!....
vipi kuna totooz za kufa mtu nije?
Mkuu taratibu za kujiunga zinakuwaje sisi wa mikoani. Kila nikijaribu naambiwa clear cookies!
Samahani sana Mkuu kwa error ya email address it's is jesaccos.tz@gmail.comMkuu nimejaribu kutuma details zangu kwa kutumia hiyo email ya gmail lakini haziendi. Hata hivyo nilituma details kwa njia ya sms kwa kiongozi CD. Ninaimani ombi langu atalifanyia kazi.
Tunapenda kuwafahamisha wanachama wote wa JE SACCOS kuwa tutakuwa na kikao JUMAMOSI hii ya tarehe 1-10-2011 kitakachofanyika MEXICO PUB iliyoko barabara ya Kawawa Kinondoni Manyanya opposite na PETROL STATION YA MWANAMBOKA kuanzia saa 9 mchana na kuendelea tunaombwa wote kufika bila kukosa hasa kwa wanachama wa JE SACCOS waliopo Dar es Salaam.
Dhumuni la kikao ni kufanya tathmini ya tulipofikia na kujadili rasimu ya masharti ya JE SACCOS tunaomba wanachama wote tujitahidi kufika bila kukosa.
Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba zifuatazo
0715 887912
0757 212122
0787 212122
Asanteni.
Habari za asubuhi mkuu,
Labda tujuze ni mambo muhimu tunayopaswa kufika nayo coz sometimes nishawahi kuhudhuria vikao then unaambiwa hapa kinatakiwa so and so and so.
mambo hiko huku, jamani hivi unajiungaje? i mean hizo details zinazopaswa kutumwa ni zipi?
Gold Addict,ur safety with gold is guaranteed,would u like ultimate security to look after ur intrest ,kuna ulinzi wa vibajaji na bodaboda only,plus leave ur husband at home otherwise Ataibiwa bila yeye or u kupenda.afterall the venue is in kiino KleinHilo eneo ni maarufu kwa Mungiki..how is my safety guaranteed?
Hilo eneo ni maarufu kwa Mungiki..how is my safety guaranteed?