Kikao cha dharula: Kitimoto kwa wabunge wa CCM wanaopigia kelele Escrow

Mbona unaongea kama shoga we fa.la.

Mtoto fake wa nyerere asiwe mtoto fake ni juu yake.

Kwani suala hili la escrow yeye ndie kalileta nje kwa watz.

Kuungana nae kivipi.

Sio kila nachozungumza ukimbilie kuniquote na kushow concern kwangu umeskia wewe cho.ko.

Mind your bzness.
choko mamako pimbi wewe,ziko wapi kejeli zako kwetu members wa Chadema sasa?waite mamende wenzio kina Ritz waje hapa kusifia mabwana zenu
 
Hata angekuwa TB Josiah asingepona

Ha ha ha ha watajibeba mwaka huu,ila kwa hiyo staili yao ya kulindana hiyo itazidi kuwaghalimu na hasa akirudi bibi Kiroboto kwenye kile kiti kikubwa,duh tutaona episode nyingi sana kwenye hili sakata na stering ndo kwanza yupo shule ya msingi tena darasa la nne tu!
 
Mmmmmhhhh naona jamaa kaamua kuwaachia wamalize waliyoanzisha then yeye atarudi toka USA kuja kuapisha wengine wa kumalizia utawala wake.
 
Inaumiza sana!.

Wakati watanzania wengi wamedhamilia kushuhudia kikundi cha watu wachache waliosababisha kukosekana kwa madawa mahospitalini na baadhi ya walimu kukatwa mishahara yao pasi na sababu, viongozi wa chama cha mapinduzi wamejichimbia Dodoma tangu jana ili kutafuta namna ya kumficha mmoja wa wahusika wakuu wa wizi wa mabilioni ya Escrow, takribani 301 billion.

CCM ni chama kikongwe na kimekuwa kikongwe kwa kila kitu. Sasa wamejichimbia Dodoma kupanga mikakati ya kumkingia kifua Pinda ambaye anapaswa kuwa mtu wa kwanza kuachia ngazi akifuatiwa na Werema na Muhongo. Kwa ujumla wao, hakuna kiongozi anayetakiwa kuachia ngazi haraka iwezekanavyo kama Pinda. Huyu ndiyo aliyelea uovu huu mpaka kufikia mabilioni yote hayo. Kwa kumtia moyo Pinda, viongozi wa chama cha mapinduzi wako Dodoma kutafuta namna ya kumtoa Pinda katika kadhia hii ambayo kwakweli kila mtanzania hasa aliyekosa dawa hospitali hivi karibuni anajua machungu yake.

Kwa ujumla, imekuwa kawaida ya CCM kuwatetea wezi na wahujum uchumi hapa nchini. Ila kwa hili la Escrow account halibebeki na watanzania. Mchezo wa kuwatetea wezi na kuwakingia kifua haukubaliki hata kidogo. Watazania tukatae namna yoyote ya kuwaficha wezi hawa wa mabilioni ya shilingi ambayo yamefanya taifa likakosa misaada kutoka kwa wafadhiri.

Hili halikubaliki hata kidogo, CCM wafanye vikao vyao ila mwisho wa siku tunataka Pinda amshike mkono Werema na Muhongo wakati wanaachia ngazi. Wapo wengi wanaofaa kumalizia muda uliobaki. Hatutaki wezi walindane ili waendelee kuiba tena na tena kwa muda uliobaki wa rais Kikwete. Enough is enough!!!!!!.

Kama kweli CCM wamekaa Dodoma weekend hii ili kupanga mipango ya kuwalinda wezi na wahujumu uchumi wa taifa hili, Watanzania tuungane kuiangusha CCM.

Watanzania!!!!. Kamata Mwizi men!!!!!!!!!!!!!

Ni ukoo ule ule wa Ufalme wa panya Mwanakijiji aliposti hapa forum jana. Inaumiza sana na hawa hawa ndion wametutungia katiba ya wananchi. Kwa kweli tunaomba wenye ndimi na waseme na bubu watikise vichwa kulaani CCM. Wametufikisha tulipo kwa wizi wao, wamefilisi nchi, wameuma elimu, mashirika ya umma wamekula kama mchwa. Wanalindana na kuendelea kuumiza nchi. Walikataa Uwajibikaji isiwe moja ya tuna za taifa ndio haya tunayoyashuhudia kuwa hawako tayari kuwajibika na wanaficha mambo kubebana. Yaani nina uchungu na nchi yangu. Naumizwa kila nikiona mwanaccm kwa kuwa wamejaa ulaghai, husuda, kila mwananchama awe kiongozi wa shina mpaka huko taifani achilia mbali wakuu wa idara mbali mbali wanavyotafuna kila kinachopita machoni bila kujali madhara kwao wala kwa wananchi. Tuunde mtandao wa kuiadhibu kwa kuwa tunaingia shimoni sasa. Kila kiongozi aliyewahi kuwa mwanaCCM ni lazima achunguzwe na atuambie amepata wapi mali na atueleze analipaje kodi. Wandugu wa Hapa jukwaani, aliye na mapenzi mema na mtaalamu wa network asaidie tukutane na kujenga muungano imara wa kushughulikia hivi vikaragosi vya CCM kuanzia Raisi na watendaji woote. wanatuumiza mno. Rais Dha.if.u na go.i g.oi, waziri mkuu hivyo hivyo, wanaiba wameingiza nchi katika majanga. ona issue ya EPA JKY anahusika, Kagoda hivyo hivyo, Madawa ya kulevya mule mule, Richmond ndo usiseme then wanasingizia e.lowasaa(Mungu alimjalia busara na ndio anayejua maana ya uwajibikaji, na huu muda alitakiwa asimame kidete kuadhibu hawa maf.. iraun wa Escrow.), Rada naye alikuwapo pindi akiwa waziri, Pembe za ndovu mpaka Rasi wa china then anapewa Uprofessor, kuhongwa suti, safari zisizoisha ambazo zimekuwa mzigo mkubwa, kujaza ndugu, mashemeji, fimada, watoto wake mpaka wa kambo (bustard) kwenye nafasi za juu na ndo wapiga dili wa kufa mtu, marafiky zake kwenye nafasi nyeti leo hii escrow/IPTL/PAP. Jamani tunataka ukweli upi tena?? Kamtuma pinda wap[igwe tuuuu! Katuma kikosi cha tokomeza kwa hakika kilipiga tuuuu. Dai..fuuu, Dhaif. uu. Wachumi wake na deni la taifa je??, Sarafu?? Katiba?? Impotent government! Impotent przda. Hii inaashiria kufail na tumejuuutaaa kumpa huyu kiumbe nchi. Tuamke tupambane
 
J. K..jpg

View attachment 204593

View attachment 204592
 
Safi sana ila nasikia Mwigulu amegoma akasema ni lazima wote waliohusika wafikishwe mahakamani na pesa warudishe zote.Ndugai ni mstaarabu sana mama akija kwani ataokoa nini wakati yeye mwenyewe alishasema hii ripoti ikija itaondoka na mawaziri???haponi mtu hapo na kweli hapo ndipo Lowasa anapoamkia,tumetukanwa sana,tumethalilishwa sana,sasa Mungu anamwinua mtumishi wake
 
kwa kuwa maandamano wanatumia jeshi na polisi kuyadhibiti sasa hapa kama hawa wabunge watatutosa watanzania ni kwamba wakija majimboni ni kuwapiga mawe tu sasa wanafiki wakubwa hawa serikali gani inayowafanyia wananchi upuuzi kama huu alafu walindane tu,sasa ni kuwapiga mawe tu mbwa hawa.
 
choko mamako pimbi wewe,ziko wapi kejeli zako kwetu members wa Chadema sasa?waite mamende wenzio kina Ritz waje hapa kusifia mabwana zenu

sasa kejeli kwa chadema zinahusiana vipi na escrow saga.

hili suala la escrow ni la chadema au linapigiwa kelele na chadema pekee??

mnapoambiwa kuwa chadema ni chama cha uchaga na kidini sio kejeli bali ni ukweli.

then unachanganya sana wewe choko,

mimi sio kibaraka wa kusifia wanasiasa kama wewe tena awe ni wa chama chochote kile.umeskia??

hiyo mtafanya macho.ko kama wewe.
 
Hakuna wanafiki na wizi zaidi ya viongozi wa Chadema, ambao wewe ndio kipaza sauti chao. Wewe unatumika kama kitambaa cha waiter of a restaurant, only needed to clean the table for the next custom. you are pathetic

pinda.jpg
 
Wezi wanaongoza kikao cha kujihukumu wenyewe.wabunge wa ccm na mawaziri haponi mtu.Ndungai kaza buti jijengee heshima
 
Taarifa ya kikao cha siri kilichofanywa na ccm jana usiku

Kikao kinaongozwa na Wasira na Lukuvi,

Wabunge wa ccm wale wanaopiga kelele kuhusu Wizi huu wamewekwa mtu kati,

Kinafanyikia Ikulu ya Dodoma kwa siri kubwa, hata magari yao yote yameigizwa ndani kabisa, kwa hapa nje lipo Gari la Lembeli aina ya Range Rover Namba T382 lililokosa nafasi ndani. kikao hiki kimeitishwa kwa meseji tu hii ni baada ya jioni kutangazwa kuwa kimeahirishwa,

Sababu za usiri huu ni pale tulipowaanika jana katika kikao chao cha shinikizo kwa Werema ajiuzuru, Zigo limemdondokea Godfrey Zambi kuwa ndie aliyevujisha siri ile kwakuwa aligoma kuzima simu na alikuwa akichati fb wakati kikao kikiendelea, hivyo kikao cha sasa hivi katupwanje.

Kikao hiki kwa sasa kimembana Ndugai kwamadai anaihujumu serikali,

Ndugai amezila kuendelea na Bunge amesema yeye sasa hata ongoza vikao, bora awe pembeni kuepusha msongamano!

Ccm imegawanyika makundi matatu, lile linaloshinikiza waliohusika na wizi huu wote wapigwe chini lakini,ukifuatilia kundi hili linavizia vyeo vya uwazili, na tayari kampenzi za kuwania vyeo hivyo zimeanza.

Kundi la pili hili ni wanafiki wa kati wasio na msimamo, lenyewe linataka wafukuzwe wachache (maswi,tibaijuka,mhongo na werema) hili linasema linanusuru serikali isianguke.

Kundi la mwisho ni la wezi wenyewe, hili linafanya kila njia ripoti hii isisomwe bungeni, hili linaongozwa na Pinda na Werema.......source chadema in ma blood
 
Habari kutoka ndani ya kikao cha siri kinachofanyika na wabunge wasiozidi 15 kimeonekana kuwa na mvutano mkubwa miongoni mwa wajumbe lakini tatizo lililo onekana ni kwamba baadhi ya wajumbe hao wapo kimaslahi zaidi kwani wapo wanao dai kwamba hawawezi kuwatetea wahusika wakati wao hawajapata kitu chochote huku wakizingatia kwamba sasa tunaelekea kwenye uchaguzi na kila mtu sasa anahitaji pesa kwa ajiri ya maandalizi ya uchaguzi jimboni mwake.

Maamuzi yaliyofikiwa iitishwe ( concas ) kikao cha wabunge wa ccm haraka iwezekanavyo ili kupeana misimamo na kuchimbana mikwara kwa wale ving'ang'amizi.

Kama itaonekana shinikizo ni kubwa la kumtaka pm ajiuzuru basi wafuatiliaji wa nyeti wanadai waziri mkuu asitokane na makundi yanayo wania uraisi ili kupunguza mvutano wa kiuongozi. Hivyo basi baadhi ya wabunge waliokuwepo eneo la hoteli ya Dodoma canival leo majira ya saa 5 walisikika wakisema Pm akijiuzulu nafasi hiyo apewe Mwigulu Nchemba kwani kwa siku chache alizokaa wizarani ameonyesha uwezo mkubwa. Hata kutohudhuria kikao kilichofanyika ni shinikizo toka kwa maswaiba wake kwamba asijihusishe na vikao hivyo huenda jina lake likawa moja ya majina yatakayo pelekwa bungeni na kuhitaji kupigiwa kura na wabunge hao .

Sababu hasa inayozungumzwa na baadhi ya wabunge wa ccm wanaopendelea kuja kuburudika hapa dodoma carnival ni kwamba Mwigulu anao uwezo wa kuwarudisha vijana ambao kwa kiasi kikubwa wamepoteza imani na serikali yao pamoja na chama tawala, Sasa sijui kama mawazo hayo ni sahihi..

Saa hizi hapa dodoma ni mwendo wa kubanana na wabunge , ukiona wamesimama wawili au watatu basi unajitahidi kujipitisha pembeni ili upate chochote kinachoendelea juu sakata la Escrow .
 
Safi sana ila nasikia Mwigulu amegoma akasema ni lazima wote waliohusika wafikishwe mahakamani na pesa warudishe zote.Ndugai ni mstaarabu sana mama akija kwani ataokoa nini wakati yeye mwenyewe alishasema hii ripoti ikija itaondoka na mawaziri???haponi mtu hapo na kweli hapo ndipo Lowasa anapoamkia,tumetukanwa sana,tumethalilishwa sana,sasa Mungu anamwinua mtumishi wake

Hapa mtumishi wa Mungu ni nani?
 
Back
Top Bottom