Katika maisha yangu naamini katika muafaka.kama chama chetu hakitakubaliana mchakato wa katiba mpya ukabaki njia kuu nawahikikishia itatutesa sana uchaguzi ujao 2015! Wapinzani itakuwa agenda yao kutumaliza.take it from me!
Nakubaliana na wazo lako kwani CCM itawaambia wananchi hayo mabilioni waliyateketeza ya nini bila kuleta katiba mpya? CCM fikirieni mara mbili kwani hizo njama zenu zinaweza kuwaangusha kabisa badala ya kuwainua.
Na isitoshe msipoboresha daftari la wapiga kura kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji ndio crisis inayozungumzwa itaanzia hapo!
Naona bora tubaki na katiba hihi ya 1977
Hii katiba mpya itatugawa japo nililuwa napenda tupate katiba mpya
Hawana ubavu. Maana akili ya mbunge mmoja wa ukawa,sawa na akili za wabunge 10 wa ccm. Ila akili ya Tundu Lissu sawa na ma-ccm cabinet nzima.
ukiwa mwoga namna hii hata kuoa utaogopaNaona bora tubaki na katiba hihi ya 1977
Hii katiba mpya itatugawa japo nililuwa napenda tupate katiba mpya
UKAWA imesajiliwa kwa huyo Msajili? Iweje azungumze na chama kisichosajiliwa? Hakitambuliki
TANGANYIKA LAZIMA IRUDIIIII kwa sauti ya Kakobe chezea UKAWA wewe!! utaloana!!!
Wanawabembelezea nini hao UKAWA?
sio kwamba hawataki majadiliano na wenzao km umesoma vizuri walikutana hotel kujadiliana ila hawajafikia muafakaChguwa jina la kunipa ww
Ikifika uchaguzi hutasema tena tume ya uchaguzi haifai?
Nakulalamika tunataka tume iliyo huru?
Kama leo ww unataka madiliko kwa nn hutaki majadiliano na mwenzako?
Binadamu siku zote usipendi kile ulichosimamiya ndio kiwe kizuri ilihali wengine hawakitaki
Jambo zuti ni maridhiano tu
Imani ndio itakayo tupeleka mbele
Baki na imani ya vyma ww kila siku na chama tu
Hata mimi ninachama lakini mawazo yangu yanaweza yakafikiti na nikapingana na mawazo ya chama changu au viongozi wangu sio
Hiyo ndiokazi ya ubongo wangu niliopewa na mwenyezimungu
Niweze sumbuwa ubongo wangu kwa kufikiri na kuwaza
Naona bora tubaki na katiba hihi ya 1977
Hii katiba mpya itatugawa japo nililuwa napenda tupate katiba mpya
Kwanini UKATE TAMAA wakati bado unaishi? Hii ni dhambi kubwa sawa sawa na ya usaliti! Tuendelee kukomaa ili Rasimu ya Warioba ndiyo ijadiliwe, kama CCm wanaona ni mbaya wasubiri kwenye kura za maoni ndipo wapige kampeni ya kuikataa, siyo kuanza kuipindua kwanza ndipo waijadili-BIG NO!
Na wakipitisha hiyo ya CCm tunajuwa wamesaliti maoni yetu wananchi na tunahaki ya kuwaadhibu sawa na wasaliti wengine.