MwanaUkerewe
Member
- May 28, 2020
- 23
- 39
- Thread starter
- #21
Katika wilaya ya Ukerewe,Ni kweli nakiri wazi kwamba hizo imani zilikuwepo lakini baada ya muingiliano wa watu kutoka makabila tofauti tofauti, imani hizo zimepungua kwa asilimia kubwa kama siyo kutokomea kabisa. Nikuhakikishie tu kwamba kwa sasa hali ni shwari, watu wako bize zaidi kuchapa kazi kwa lengo la kujiletea maendeleo. kwahiyo ukisikia mtu bado anaishutumu hii wilaya kwa imani za kishirikina ujue anatumia historia ya zamani ya miaka mingi iliyopita(ambayo haipo kwa sasa) kuchafua sifa na taswira nzima ya uzuri wa kisiwa hiki.Kwa uchawi sasa, Ukerewe hawajambo, ukienda unaondoka bila kuaga.
Ukiaga jiandandae kupigwa na jini Bia yetu, jini hatari sana kwa maisha ya mwanadamu.