Kijue kisiwa cha Ukerewe kwa undani. Kisiwa cha kifahari kilichopo pembezoni mwa jiji la Mwanza

Kwa uchawi sasa, Ukerewe hawajambo, ukienda unaondoka bila kuaga.
Ukiaga jiandandae kupigwa na jini Bia yetu, jini hatari sana kwa maisha ya mwanadamu.
Katika wilaya ya Ukerewe,Ni kweli nakiri wazi kwamba hizo imani zilikuwepo lakini baada ya muingiliano wa watu kutoka makabila tofauti tofauti, imani hizo zimepungua kwa asilimia kubwa kama siyo kutokomea kabisa. Nikuhakikishie tu kwamba kwa sasa hali ni shwari, watu wako bize zaidi kuchapa kazi kwa lengo la kujiletea maendeleo. kwahiyo ukisikia mtu bado anaishutumu hii wilaya kwa imani za kishirikina ujue anatumia historia ya zamani ya miaka mingi iliyopita(ambayo haipo kwa sasa) kuchafua sifa na taswira nzima ya uzuri wa kisiwa hiki.
 
Nimevutiwa sana na haya maelezo.
Nimesoma maelezo yote hapo inaonekana wazi kabisa Ukerewe ni wilaya na kisiwa chenye fursa zote za kiuchumi na kijamii huenda toka tunapata uhuru.

Sasa inakuwaje mpaka leo hii bado maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya wakazi wa Ukerewe yapo chini sana?
Yaani ukizungumzia Umaskini, Ujinga au Ushirikina katika kanda ya Ziwa, huwezi kukwepa kuitaja Ukerewe.

Pia ni kwanini wenyeji asili wa Ukerewe waliokuja mjini na kusoma au kufanikiwa kimaisha huwa wengi wao kamwe hawarudi tena Ukerewe kuishi, kujenga na kuendeleza miji na vijiji vyao vya asili?
 
Uko vizuri kwa taarifa Kama hizi,sema siku nyingine ingia ndani kwenye mambo ya mila na tamaduni zao nasikia mtu akifiwa na mme/mke huwa kuna taratibu fulani hivi zinafanyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umechambua vzr, japo hujazungumzia imani za kichawi ambazo inasemekana ndizo zinazochelewesha maendeleo ya wilaya husika.
Katika wilaya ya Ukerewe,Ni kweli nakiri wazi kwamba hizo imani zilikuwepo lakini baada ya muingiliano wa watu kutoka makabila tofauti tofauti, imani hizo zimepungua kwa asilimia kubwa kama siyo kutokomea kabisa. Nikuhakikishie tu kwamba kwa sasa hali ni shwari, watu wako bize zaidi kuchapa kazi kwa lengo la kujiletea maendeleo. kwahiyo ukisikia mtu bado anaishutumu hii wilaya kwa imani za kishirikina ujue anatumia historia ya zamani ya miaka mingi iliyopita(ambayo haipo kwa sasa) kuchafua sifa na taswira nzima ya uzuri wa kisiwa hiki.
 
Ila mleta uzi ame generalise Sana,,hasa fursa,,je nijitaka kununua samaki wa biashara nakuja Hapo nansio?,
Dagaa je?.
Hebu nenda kiundani ili wawekezaji tuje kisiwani kuwekeza
 
Bwiro, Kakukuru,Kakerege, Buguza, Igalla, Rubya forest, Buhima, Ukara, Hamuyebe, Bukindo,Irugwa, Muriti,Bwasa,Bugorora, Bwisya,Kigara nimepita na kuishi maeneo hayo. Now miaka saba sasa sijakanyaga huko. Ugali wa muhogo na kuku nimevimiss sana mwana wasu, kutiki go, ogende yoo. Si mzawa lakini.
 
Back
Top Bottom