ufalmedigital
Member
- Apr 24, 2025
- 29
- 37
VETA (Vocational Education and Training Authority) ni taasisi ya serikali ya Tanzania inayotoa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na watu wazima. Imekuwa msaada mkubwa kwa wale wanaotafuta njia mbadala ya elimu ya kawaida ya darasani kwa lengo la kujiajiri au kuajiriwa kwa ujuzi wa vitendo.
2. MALENGO YAKE YA MSINGI
Kuongeza idadi ya watanzania wenye ujuzi wa kitaalamu
Kupunguza tatizo la ajira kwa kuwapa watu uwezo wa kujitegemea
Kukuza sekta ya viwanda kwa kutoa mafundi waliobobea
Kuwapa wahitimu uwezo wa kushindana kitaifa na kimataifa
3. MIKOPO NA UDHAMINI
Baadhi ya kozi katika VETA hufadhiliwa na taasisi kama:
Skills Development Fund (SDF)
TASAF
Donors wa kimataifa (GIZ, KOICA, n.k)
see more on ChuoSmart | chuo cha siku: VETA TANZANIA – Kituo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi