Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,894
- 172,689
ukiwa tayari niambie nilete posa.....
mi nipo tayari hata sahivi....
ukiwa tayari niambie nilete posa.....
Daaah maisha magumu aisee ajira ngumu kujiajiri mtihani....yan ni shidaa
mi nipo tayari hata sahivi....
aaaah ishia ww mi nlitaka kuolewa sio kuoanaNgoja na mimi nikishakuwa tayari tuoane 😉
Tatizo uliwaza sana ndoa kuliko mambo mengine
acha usulubiwe
maisha magipumu sio siri acha tu.....NIKIKUTABA NA MARIOO NATAMANI NIMCHAPE RISASI YA USO
hahaha jamaa (....) kakuibia pasiwedi yako nn? au ni tachi sikirini?