Kijiji/mtaa kikitaka kutengeneza barabara je wananchi wanatakiwa kulipwa sehemu ya eneo litakalotumika?

Habari wadau,imekuwepo zogo hapa nilipo kijiji kinataka kutengeneza barabara jee wananchi wana waki walipwe au iweje kwa mujibu wa sheria?

Sent using Jamii Forums mobile app
Fafanua je ni eneo la watu mnataka kubadili matumizi iwe barabara? Je kuna barabara ila mnaiboresha kiasi cha kuathiri maeneo ya watu au ni kurekebisha barabara ila mnataka kutumia wanajikijiji kama vibarua sasa wanahitaji ujira japo hiyo barabara wataitumia wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom