Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,693
- 870,411
MLAU hizi ni siasa ushauri kama huo unafaa jukwaa la ujasiriamaliKikiongozwa na CHADEMA then watu wake wanabadilika wanakuwa Wazungu au.
Jamani wana Tanzania tutaliwa sana kwa lugha ya hivi vyama Mara CCM sijui CHADEMA Mara CUF
Lamsingi kwako wewe piga kazi kwa bidii zote au soma kwa nguvu zote tafuta pesa kwa mbinu zote Wewe mfanyabiashara.Hiyo ndiyo dawa hayo mengine ni ziada tu