Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,104
- 2,549
Kijiji cha kolomije kilichojipatia umaarufu katika siku za hivi karibuni kinaongozwa na serikali ya kijiji chini ya CHADEMA. Mwenyekiti wake anatokana na CHADEMA, kati ya vitongoji sita CHADEMA inaongoza 5 na miongoni mwa wajumbe wa serikali ya kijiji CHADEMA inao 15 CCM 10.Bashite ajipange sana kugombea ubunge misungwi