Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,289
Safi sana kijiji kina maendeleo na wananchi wanajielewa.
KiKwahyo unamanisha watani zangu wa jadi CHADEMA wanaongoza Serikali ya Kijiji cha Kolomije,kijiji ambacho kimetoa the best kilaza who goes by the name of Bashite?
Ahahaha,
Subiri niwaite watani zangu wa jadi:
Salary Slip
OKW BOBAN SUNZU
Francis12
Mmawia
Victor wa happy