Kijiji cha Kiambankupe kipo mkoa gani?

lokiyo

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
1,953
875
Wadau, Naulizia kijiji cha Kiambankupe kipo katika mkoa gani hapa Tanzania?
 
Amuulize aslay kwenye wimbo wake unaoitwa ANAENDA KUSEMA mkubwa fela alitia maneno kwenye ule wimbo kuwa atampeleka huko KIAMBANKUPE
 
Back
Top Bottom