Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,032
- 63,174
I used to respect your contribution hapa jf, ila katika hili umefeli kufanya deep and objective analysis, malengo ya urusi sio kuteka kievi hapana ni matatu na ame achive almost 70% zerelesiky baada ya vita hawezi kua Raisi wa ukurain tena hapo ameshikiliwa na Nato pamoja na US propaganda ila wa Ukuraini wamesha kiona ni ze comedy kabisa malengo ya Urusi ni:Ukiitazama hii vita katika jicho la kijeshi ni dhahiri urusi imefeli!
Imefeli kwa sababu imeshindwa kufikia malengo yake ya uanzishaji hii vita...
Na mimi nikisema umeandika hii kwa kufuata hisia zako nitakuwa nakosea?Toka mwanzo wa vita wenzako walikua na maneno kama hayo mara uchumi wake sio imara hawezi kupigana vita mda mrefu mara kaishiwa chakula hawezi kulisha wanajeshi...
TumeshafikaSubiri Warusi wa Buza kwa Mpalange waje na vijora
Kikubwa nilichojifunza katika hizi vita, Moyo wa askari una nguvu kuliko silaha kali ktk mikono ya askari asiye na moyo wa mapambano![emoji1534][emoji1533]Ukiitazama hii vita katika jicho la kijeshi ni dhahiri urusi imefeli!
Imefeli kwa sababu imeshindwa kufikia malengo yake ya uanzishaji hii vita!
Lengo la Kijeshi la Urusi ilikuwa ni kuingia Kiev haraka, kukamata mji mkuu na kuuangusha utawala wa Zelensky. Lakini hadi leo hii takriban siku ya 60 ya kivita, Urusi imeshindwa kukamata Kiev, na majeshi yake baada ya kukutana na upinzani mkali yakakimbia(retreat) kutoka miji ya ndani na kurudi huko Mashariki ambako walikuwa wanapakalia toka mwaka 2014.
Urusi imepata hasara kubwa sana ya vifaa na askari. Vifaru vyake vilikuwa vikikaangwa kwelikweli na Javelin missiles, pamoja na drones za Bayraktaar.
Logistics za kupeleka chakula na silaha ndanindani kwa askari wake ilikuwa shida
Wakati huo vikwazo vikiendelea kuichakaza urusi kwelikweli.
Hadi hivi sasa Zelensky amefanikiwa kuilinda serikali yake, na kinachofuata sasa ni kuandaa operesheni kabambe ya kumtoa nyoka pangoni huko Mashariki, Hii itakuwa operesheni kali sana na ngumu sana lakini itawezekana.
Urusi ni Taifa kubwa lakini uchumi wake ni mdogo kuliko jimbo moja tu la Texas Marekani, haina fedha za kupigana hii vita kwa muda mrefu, itakachokifanya ni kutafuta kideal cha kizushi na Ukraine ili kuficha aibu ya uso wake!
Kikubwa nilichojifunza katika hizi vita, Moyo wa askari una nguvu kuliko silaha kali ktk mikono ya askari asiye na moyo wa mapambano!
Sio nyoo zao kua ngumu wamekua brainwashed kwa mda mrefu tena kumbuka nivijana wadogo btn 18 to 32 wana rubuniwa ni sawa sawa na wale wanao jitoa muanga kwa kujilipuaKikubwa nilichojifunza katika hizi vita, Moyo wa askari una nguvu kuliko silaha kali ktk mikono ya askari asiye na moyo wa mapambano![emoji1534][emoji1533]
[emoji16][emoji16] motivational speakers banaKikubwa nilichojifunza katika hizi vita, Moyo wa askari una nguvu kuliko silaha kali ktk mikono ya askari asiye na moyo wa mapambano![emoji1534][emoji1533]