Kijasti kawaua CUF live

Kijasti kawaua CUF live

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,030
Reaction score
59,684
huyu jamaa ni noma
katuni majira 15.2.12.jpg
 
Mimi nikakuja anachimba msingi wa nyumba, lakini akanichanganya aliposema masuala ya kuenea kwenye "msingi", ndo nikachanganya na akili zangu kuusoma mtazamo wa Kijasti.
 
KIJASTI NA KIPANYA deserve special recognition na Taifa la wadanganyika kwa juhudi zao za kuwaamsha kutoka usingizini!!
 
cuf ishajiua na kujizika tangia ndoa yao na ccm
 
achen blablaa zczo na msingi badala mgombane na baba mwenye nyumba wenu mnagombana na jirani.
 
Kweli Lipumba anajua kusoma alama za nyakati! keshasoma ramani za mbele akakitoa zake USA.
Alishasanda kuwa hamna chama hapo!
 
Ile ndoa na magamba kwakweli ni ngumu na chungu kuomba talaka
 
Back
Top Bottom