Nuksi tupu[emoji34][emoji35][emoji34][emoji35]
Ahahaha unajua haya mambo ni saikoloji. Imetokea tu kanikera samahani lakini nakiri huu ni udhaifu wangu tu nadhaniIla asingekuwa nyinyiemu tako lake ingekuaje mkuu...?
daah we jamaaNimezoom hiyo picha upande wa kulia.
hahahaahLabda ni picha ya zamani enzi za Jakaya