Majibu ya 4m4 ndio yatatoa mwangaHabari zenu wapendwa poleni na majukumu Nina kijana wangu anataka kusomea udaktari lakini anataka akimaliza 4m4 aende chuo, sasa ni njia zipi atapitia?

Naelewa kak ila nilikuwa natak kujua uwezekano upoMajibu ya 4m4 ndio yatatoa mwanga
Jr![]()
Uwezo wake kwenye masomo ya science ukoje.Naelewa kak ila nilikuwa natak kujua uwezekano upo
Habari zenu wapendwa poleni na majukumu Nina kijana wangu anataka kusomea udaktari lakini anataka akimaliza 4m4 aende chuo, sasa ni njia zipi atapitia?
Uwezekano haupo.Naelewa kak ila nilikuwa natak kujua uwezekano upo
Mkuu, nadhani ulimaanisha PCB.Uwezekano haupo.
kusoma MD mpaka afikie form six..tena PCM.
Au apitie diploma kama clinical officer then baadae akasomee degree ya MD.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ulikusudia PCB Mkuu..... Kusoma MD inawezekana kwa 4m4 ila anapitia C.O kwanza ndipo aende MDUwezekano haupo.
kusoma MD mpaka afikie form six..tena PCM.
Au apitie diploma kama clinical officer then baadae akasomee degree ya MD.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes yes bro. Thanks kwa kunirekebisha.Nadhani ulikusudia PCB Mkuu..... Kusoma MD inawezekana kwa 4m4 ila anapitia C.O kwanza ndipo aende MD
Yes ni ndefu ila ni safe! 4m4 kupiga div 1/2 ni rahisi CO chap ila six bila 1 MD hugusi. .... Mwisho wa siku dogo anasoma course nje na malengo. Kama akifaulu vizuri 4m4 binafsi nashauri aunge C.O six kumeua ndoto za watu wengi sana.Yes yes bro. Thanks kwa kunirekebisha.
Japokuwa njia ya diploma.itakuqa ndefu kidogo. Itabidi ajitoe sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ulikusudia PCB Mkuu..... Kusoma MD inawezekana kwa 4m4 ila anapitia C.O kwanza ndipo aende MD
PCM una uhakika?Uwezekano haupo.
kusoma MD mpaka afikie form six..tena PCM.
Au apitie diploma kama clinical officer then baadae akasomee degree ya MD.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama yuko vizuri aende moja kwa moja Advance halafu apige MD na ikiwezekana beyond. Bahati mbaya kwa sasa ndoto za vijana wengi zimeishia hapa kwa kuwa na ufaulu ulioshindwa kwenye ushindani wa nafasi chache zilizopo.Habari zenu wapendwa poleni na majukumu Nina kijana wangu anataka kusomea udaktari lakini anataka akimaliza 4m4 aende chuo, sasa ni njia zipi atapitia?
Unaenda vizuri Diploma kutoka 4m4 labda kama hujafaulu ndo unaweza anzia certificateNadhani kwa mtu ambae amemaliza form four hawez kuanza diploma moja kwa moja inabid aanze na certificate ya course ya afya kwanza, then ndo aende clinical officer(diploma) then medical doctor(degree).
Angekuwa kamaliza formsix ndo angeweza kuanzia level ya diploma (clinical officer) then Md or form six then anaenda direct Md kama ana ufaulu mzuri.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna wadau walinerekebisha hapo . Nilikuwa na maanisha PCB.