Inawezekana.. Afaulu Phy, Bio, Chem, Maths na English.
Ataanzia Assistant Clinical Officer (ACO) Miaka miwili then Clinical Officer (CO) Miaka mi3 then ndio aende Degree..
Nikusahihishe kidogo, mfumo wa kusoma vyuo husomwa kwa ngazi za NTA levels, kuna NTA le 4,5 na ,6 ambapo Technician certificate in clinical medicine,(ambayo mhitimu wake ndio tabibu msaidizi au clinical assistant)
husomwa miaka miwili yani NTA level 4&5. Kisha diploma ni NTA level 6 ambayo ni mwaka mmoja. kwahiyo akisoma Technician certificate miaka miwili diploma anasoma mwaka mmoja yani amalizia NTA level 6. na sio kwamba atasoma diploma kwa miaka mitatu tena Hapana.
Nashauri tusitoe ushauri kama hatuna taarifa za kutosha za kada husika hasa kwa kurejea mwongozo wa NACTE
#YNWA
Wrote from Anfield..!!