DAVIES KILANGI
Senior Member
- Nov 25, 2018
- 174
- 117
Hii ni shilingi ngapi mkuu??????Wakubwa naombeni msaada wa shule kunitajia shule za advance ambazo ada yake kwa bweni isiwe zaidi ya 1000000
Hii ni shilingi ngapi mkuu??????Wakubwa naombeni msaada wa shule kunitajia shule za advance ambazo ada yake kwa bweni isiwe zaidi ya 1000000
Kwahiyo wee ulikua una concentrate huko shule, ili uchaguliwe second selection? Poleeeeh sanaHv huu mwaka second selection zitatoka kweliiii au ndio kampenii mpaka mmetusahau wanafunzii WA huu mwaka
HV mnaweza kunitumia picha ya shule ya chisenga secondary