Vijana wa bongo watakutaka mkubaliane menu ipoje kwa wikiChakula: Juu yangu muajiri
Mshahara: Makubaliano
Sio uongo na wala unachoandika sio utani.Vijana wa bongo watakutaka mkubaliane menu ipoje kwa wiki
Nahitaji hii mkuu nakutumia namba yanguShamba lipo hapo Wilaya ya Kisarawe. Majukumu ya kijana ni kuweka mazingira sawa, kulima na kuhakikisha majani hayaoto kwenye shamba husika.
Shamba ni la heka 2, halijapandwa zao lolote lina majani. Kuna nyumba katikati ya shamba ambayo ndio makazi ya kijana husika.
Nyumba imekamilika inayofaa kuishi binadamu aliekamilika.
Chakula: Juu yangu muajiri
Mshahara: Makubaliano
View attachment 2813408View attachment 2813408
Picha hapo Juu ni nyumba iliyo Shamba.
Nimeipiga picha nikiwa shamba/kiwanja cha jirani ambae yeye tayari kwake ni kusafi. Ukiangalia hiyo picha kuna eneo halina majani hapa mwanzo, hiki ni kiwanja/shamba cha mtu mwingine yeye kashajenga shamba lake safi kiwanja kimenyooka kama Azam Complex.
Na Kijana ninae mtaka ndio nataka aondoe ile nyumba kutoka kati kati ya majani alime kote kipatikane kiwanja kisicho na majani Nyumba ikae hapo kati. Jukumu kubwa ni hilo usafi wa kiwanja muda wote jani lisiote hata 1.
NOTE: Akitokea mtu na familia yake anataka kukaa huku anakaribishwa, mshahara tutakubaliana, chakula juu yangu muajiri. Ruksa ukitaka kulima, ruksa ukitaka kufuga, ruksa kufanya chochote.
Muhitaji alie serious tu karibu inbox.
Unalipa kias Gani mkuu mbona kama hakuna umeme hapoSio uongo na wala unachoandika sio utani.
Nilipata vijana hapa dar kipindi cha nyuma kabla sijawajengea hapo nilipanga chumba kijijini hapo nikawaekea vitu vya kula.
Mchele,unga,viungo (nyanya,karoti,kitunguu),dagaaa...
Siku moja nikapiga simu nikawauliza mko wapi? wakasema wapo nyumbani, Leo hamjaenda kazini? wakasema hawajaenda (wana njaa).. kwanini? Chakula mboga karoti zimeisha kuna nyanya na kitunguu tu hatujapika..
Nikagomba pale ikaisha, Siku ingine wakanletea Kubwa KULIKO wamechoka UGALI na WALI wamekinai wanaomba Hela wanunue Ndizi labda au vyakula vingine.
KESHO yake wote walikua wanawasiliana kwenye simu, Mmoja akiwa anaelekea MBEYA kwao mwingine MBAGALA huko...
Nimekutumia nambaShamba lipo hapo Wilaya ya Kisarawe. Majukumu ya kijana ni kuweka mazingira sawa, kulima na kuhakikisha majani hayaoto kwenye shamba husika.
Shamba ni la heka 2, halijapandwa zao lolote lina majani. Kuna nyumba katikati ya shamba ambayo ndio makazi ya kijana husika.
Nyumba imekamilika inayofaa kuishi binadamu aliekamilika.
Chakula: Juu yangu muajiri
Mshahara: Makubaliano
View attachment 2813408View attachment 2813408
Picha hapo Juu ni nyumba iliyo Shamba.
Nimeipiga picha nikiwa shamba/kiwanja cha jirani ambae yeye tayari kwake ni kusafi. Ukiangalia hiyo picha kuna eneo halina majani hapa mwanzo, hiki ni kiwanja/shamba cha mtu mwingine yeye kashajenga shamba lake safi kiwanja kimenyooka kama Azam Complex.
Na Kijana ninae mtaka ndio nataka aondoe ile nyumba kutoka kati kati ya majani alime kote kipatikane kiwanja kisicho na majani Nyumba ikae hapo kati. Jukumu kubwa ni hilo usafi wa kiwanja muda wote jani lisiote hata 1.
NOTE: Akitokea mtu na familia yake anataka kukaa huku anakaribishwa, mshahara tutakubaliana, chakula juu yangu muajiri. Ruksa ukitaka kulima, ruksa ukitaka kufuga, ruksa kufanya chochote.
Muhitaji alie serious tu karibu inbox.
Kama Nina simu naish vip bos mbon unakuwa mbogo kwa vitu vidogo vidogo?Shamba umeme unatoka wapi? Umeshaaanza na wewe ndio wale waleeee...
DuhUnalipa kias Gani mkuu mbona kama hakuna umeme hapo
Nn hutaki au? Mm Nina sim kubwa naishi vip hapo? Hili ndo kubwa
Shamba umeme unatoka wapi? Umeshaaanza na wewe ndio wale waleeee...
Ngoja nichangamkie fursa💆Sio uongo na wala unachoandika sio utani.
Nilipata vijana hapa dar kipindi cha nyuma kabla sijawajengea hapo nilipanga chumba kijijini hapo nikawaekea vitu vya kula.
Mchele,unga,viungo (nyanya,karoti,kitunguu),dagaaa...
Siku moja nikapiga simu nikawauliza mko wapi? wakasema wapo nyumbani, Leo hamjaenda kazini? wakasema hawajaenda (wana njaa).. kwanini? Chakula mboga karoti zimeisha kuna nyanya na kitunguu tu hatujapika..
Nikagomba pale ikaisha, Siku ingine wakanletea Kubwa KULIKO wamechoka UGALI na WALI wamekinai wanaomba Hela wanunue Ndizi labda au vyakula vingine.
KESHO yake wote walikua wanawasiliana kwenye simu, Mmoja akiwa anaelekea MBEYA kwao mwingine MBAGALA huko...
Hawajui kupambania maishaSio uongo na wala unachoandika sio utani.
Nilipata vijana hapa dar kipindi cha nyuma kabla sijawajengea hapo nilipanga chumba kijijini hapo nikawaekea vitu vya kula.
Mchele,unga,viungo (nyanya,karoti,kitunguu),dagaaa...
Siku moja nikapiga simu nikawauliza mko wapi? wakasema wapo nyumbani, Leo hamjaenda kazini? wakasema hawajaenda (wana njaa).. kwanini? Chakula mboga karoti zimeisha kuna nyanya na kitunguu tu hatujapika..
Nikagomba pale ikaisha, Siku ingine wakanletea Kubwa KULIKO wamechoka UGALI na WALI wamekinai wanaomba Hela wanunue Ndizi labda au vyakula vingine.
KESHO yake wote walikua wanawasiliana kwenye simu, Mmoja akiwa anaelekea MBEYA kwao mwingine MBAGALA huko...
Wanakosa uadilifu, wakiingiwa tamaa wanauza wanasepaKama nafasi ipo mnunulie japo sola
Haya. Basi subiri kwanza jamaa avute umeme au aweke solar. Atarudi tena kutangaza ajira.Nn hutaki au? Mm Nina sim kubwa naishi vip hapo? Hili ndo kubwa
Kwa sabb sina ajira au 😆Haya. Basi subiri kwanza jamaa avute umeme au aweke solar. Atarudi tena kutangaza ajira.
Mi ntajuaje sasa? Ni wewe ulionyesha kuitaka kaziKwa sabb sina ajira au 😆